MISTARI YA WIMBO HUU

Hey Hey
Heey
B-Hitz
B-Hitz
A.Y

Nami nasema leo leo leo
Nasitamwacha aa aa aa
Leo leo leo
Leo leo leo

You know
Sijamuona kama ye before (before before)
Mapigo (ya moyo)
Yananienda mbio
(Nikimtia machoni nikimtia machoni)
Nataka nimtokee
Ili niwe naye
Nje ndani
Full shangwe
Nataka nimtokee ili niwe naye milele

Nami nasema leo leo leo
Nasitamwacha aa aa aa
Leo leo leo
Leo leo leo

Excuse me beautiful (beautiful)
Nishike mkono usiniache peke yangu
Najua wengi tu (wengi tu)
Wamekutokea na wana uwezo zaidi yangu
Usiniache usinimwage
Niko real kwako (real kwako)
Usiniache usinimwage
Niko real kwako (real kwako)
Nataka nimtokee
Ili niwe naye
Nje ndani
Full shangwe
Nataka nimtokee
Ili niwe naye milele

Nami nasema leo leo leo
Nasitamwacha aa aa aa
Leo leo leo
Leo leo leo

Kwangu penzi ni full (full full full uuuuh uuuuh)
Kwangu penzi ni full (full full full uuuuh uuuuh)

Nataka nimtokee
Ili niwe naye
Nje ndani
Full shangwe
Nataka nimtokee
Ili niwe naye milele
Maridadi (yule)
Nitampata vipi (yule)
Vile kitabia kimwili yuko safi
Nataka niwe nae
Niwe nae milele

Nami nasema leo leo leo
Nasitamwacha aa aa aa
Leo leo leo
Leo leo leo

Heeey
Heey
Leo leo
Leo leo leo leo leo

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU