MISTARI YA WIMBO HUU

It’s your broda ENT, Jeff Chukuma
Bill Nas, Bill Nas
Haha haha
Bill Nas, Bill Nas

Nakumbuka those days, nakumbuka those times
Back on the bench nigga nikiwa na-rhyme
Nikam-promise my mama that I’ll always be a soldier
Forget about the drama uwe malapi ka Mdena
Maisha yako bomba sasa (sababu ya music)
Na-change dollar we kila saa (muusic)
Niko na tanki kubwa kitaa (music)
Hakika nyota yangu inang’aa (muusic)

Ligi ndogo wacha ligi ndogo
Ligi ndogo tafuta ligi ndogo
Ligi ndogo wacha ligi ndogo
Ligi ndogo tafuta ligi ndogo

Niko studio nashika mic, nakandamiza hizi vocal tight
Naziona pesa (music)
Jah please bless my (music)
Mola I need your blessah blessah blessah (music)
Niko studio nashika mic, nakandamiza hizo vocal tight
Naziona pesa (music)
Jah please bless my (music)
Mola I need your blessah blessah blessah (music)

Nakumbuka zile hustle mtu sita kwenye ghetto
Tuko mtaani tuna-hustle maisha flani hatuja-settle, settle (sababu ya music)
Na-change dollar we kila saa (muusic)
Niko na tanki kubwa kitaa (music)
Hakika nyota yangu inang’aa (muusic)

Ligi ndogo wacha ligi ndogo
Ligi ndogo tafuta ligi ndogo

Wakati uko kwa mama unafanya home work
Mi niko mtaani na-suffer wanapiga road work
Dingi mshahara hautoshi, mama mama wa nyumbani suppose
Hakuna Christmas wala Easter
Nisha-share kitanda kimoja na masista
Ni Mola pekee ndo anajua wapi nilipotoka
Kiasi nilichosota, nafasi nilizokosa
Wapi nilipogota na nafasi nilizotoswa
Washaziba promo ila ridhiki ndo hawakuweza
Wakataka Bill Nas labda ningeteeleza
Na silipizi kisasi kwa kuwachongea jeneza
‘Cause aliowanyima sense ndo alofanya mi kuweza

Niko studio nashika mic, nakandamiza hizi vocal tight
Naziona pesa (music)
Jah please bless my (music)
Mola I need your blessah blessah blessah (music)
Niko studio nashika mic, nakandamiza hizo vocal tight
Naziona pesa (music)
Jah please bless my (music)
Mola I need your blessah blessah (music)

Ligi ndogo wacha ligi ndogo
Ligi ndogo tafuta ligi ndogo
Ligi ndogo wacha ligi ndogo
Ligi ndogo tafuta ligi ndogo

Niko studio nashika mic (shika mic), nakandamiza hizi vocal tight (vocals)
Naziona pesa (music)
Jah please bless my (music)
Mola I need your blessah blessah blessah (music)
Niko studio nashika mic (microphone), nakandamiza hizo vocal tight (vocals)
Naziona pesa (music)
Jah please bless my (music)
Mola I need your blessah blessah (music)

Ligi ndogo wacha ligi ndogo
Ligi ndogo tafuta ligi ndogo
Ligi ndogo wacha ligi ndogo
Ligi ndogo tafuta ligi ndogo

(T Touch, Bill Nas, M Lab hee ee eeh)
Naziona pesa
Jah please bless my
Mola I need your bless heart, pesa, bless heart
Ligi ndogo wacha ligi ndogo
Ligi ndogo tafuta ligi ndogo
Naziona pesa (music)
Jah please bless my (music)
Mola I need your bless heart, pesa, bless heart
(TOUCH)
Mnyama kama T Touch
Mnyama kama T Touch
Eee heee, eee heee
Free Nation

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI