MISTARI YA WIMBO HUU

Pokea zangu salamu wangu mimi
Mambo yameshakua nahitaji kukuoa
Kwanza uwe na mume utambe na uringe
Nami niwe na mke ili unichunge
Mng’aro wa nuru yako kama mbalamwezi
Na uzuri wa macho yako kama yana machozi

Lupe Lupe Lupe (Lupela)
Umeumbwa mama (Lupela)
Uje uwe wangu inapendeza
Lupe Lupe Lupe (Lupela)
Lupe Lupe (Lupela)
Uje uwe wangu
Inapendeza
Jiuwi uwi (Lupela)
Jiuwi uwi (Lupela)
Jiuwi uwi (Lupela)
Inapendeza
Lupe Lupe (Lupela)
Ah Lupe uje uwe wangu
Inapendeza

Honeymoon wapi twende visiwani
Ama chini baharini
Au tupae angani (Lupela)
Mi papaa sio judge nawe mama sio judge (Lupela)
Leo tuifishe la’arjhi wal adal ghaudi

Lupe Lupe Lupe (Lupela)
Umeumbwa mama (Lupela)
Uje uwe wangu inapendeza
Lupe Lupe Lupe (Lupela)
Lupe Lupe (Lupela)
Uje uwe wangu
Inapendeza
Jiuwi uwi (Lupela)
Jiuwi uwi (Lupela)
Jiuwi uwi (Lupela)
Inapendeza
Lupe Lupe (Lupela)
Ah Lupe uje uwe wangu
Inapendeza

Waite-ite marafiki zako
Baba mama yako
Waje
Lupe Lupe eh
Waje wacheze aah
Lupe pela
Lupe wewe unantea
Lupe Lupela
Waje kwa kucheza
Pamoja wote
Lupe wangu
Uje Bi Fatma
We Lupe Lupela
Uuhh

Mama la Mama
Wife wa Dunia
Lupela
Mmmhm
Yap
Chief Shebenzala
Pop it in

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU