MISTARI YA WIMBO HUU

Wacha nifungue roho jina langu ni Dela
Nipe glass,nipe maji yeeiye,na chupa ya tequila
Siamini macho yangu,rafiki yangu na Ex wangu
Wanapigana mateiyeiyee nyuma ya mgongo yangu
Na ni kweli umechange,siku hizi uko fishy
Unalenga messages zangu simu zangu haushiki
Siamini mnadate,hee,mapenzi haya tangu lini
Kumbe mjinga na mimi,kumbe mjinga ni mimi

Friends like this,friends like this
Kuniita enemy,enemy
Nimecatch mafeelings,iyoyoo,Nimecatch mafeelings
Nimecatch mafeelings,iyoyooo,Nimecatch mafeelings
Siamini macho yangu Nimecatch mafeelings
Nimecatch mafeelings,iyoyoo,nimecatch mafeelings

Nashangaa sana na wewe bana,ameshindwa kuupgradi
Mimi kuku kienyeji ni tamu kuliko ya gredi
Tena sana nawajaji,tabia zenu ni ratcheti
Bila mimi hakuna nyinyi
Hamtawahi niforgeti

Friends like this,friends like this
Kuniita enemy,enemy
Nimecatch mafeelings,iyoyoo,Nimecatch mafeelings
Nimecatch mafeelings,iyoyooo,Nimecatch mafeelings
Siamini macho yangu Nimecatch mafeelings
Nimecatch mafeelings,iyoyoo,nimecatch mafeelings

Do me a favor please, Gerrarahia

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI