MISTARI YA WIMBO HUU

Mahaba ya dhati
Yamenishukia
Yangu tasiliti mimi
Imenichongea
Na hiari mauti
Oh kuliko mahaba haya
Oh kuliko mahaba haya

Sikiiza Katiti nikupe mfano
Tena kwa sharuti pasi magombano
Sikiiza Katiti nikupe mfano
Tena kwa sharuti pasi magombano
Hata nae dhati
Oh kweli hachelei neno
Oh kweli hachelei neno

Mahaba ya dhati
Yamenishukia
Yangu tasiliti mimi
Imenichongea
Na hiari mauti
Oh kuliko mahaba haya
Oh kuliko mahaba haya

Hajanipokea wangu mahabuba
Upatesikia yangu matilava
Hajanipokea wangu mahabuba
Upatesikia yangu matilava
Na kuzingatia
Oh raha naiona misiba
Oh raha naiona misiba

Mahaba ya dhati
Yamenishukia
Yangu tasiliti mimi
Imenichongea
Na hiari mauti
Oh kuliko mahaba haya
Oh kuliko mahaba haya

Jamani majuto mwisho wa mahaba
Utakesha macho ukitia toba
Jamani majuto mwisho wa mahaba
Utakesha macho ukitia toba
Kheri kofi zito
Oh nalo mtu kukuzaba
Oh nalo mtu kukuzaba

Mahaba ya dhati
Yamenishukia
Yangu tasiliti mimi
Imenichongea
Na hiari mauti
Oh kuliko mahaba haya
Oh kuliko mahaba haya

Ya dhati
Shukia
Mimi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI