MISTARI YA WIMBO HUU

Pole pole usiniibie penzi ya habiby
Mwanzo mwisho nitabaki na wewe kipenzi
Gimme gimme love baby touch me like this
Everyday I feel safe kuwa nawe

U gat me up high
Unanipa kile nataka nafurahi yeah
Uwatoe nishai
Wote waliotaka mimi nawe tuachane

And I feel alive
Ulikuwa wapi all the time
Penzi usiogope fame
Dunia yetu mi na we
Tuwe wote kila sehemu yeah yeah

I wanna be your main chick
Nakupenda (nakupenda)
I wanna be your main chick
Nakupenda (nakupenda)
Oh let me be the main chick
Nakupenda (nakupenda)
I wanna be your main chick
Nakupenda (nakupenda)

Nakupa jina we ndio mume wangu
We ni nyongo mkalia ini langu
Nafsi yangu imeridhia
Sitokimbia nitazikwa na wewe

Pole pole usininyime penzi laazizi
Tujinome raha ya mapenzi tufurahi

U gat me up high
Unanipa kile nataka nafurahi yeah
Uwatoe nishai
Wote Waliotaka mimi nawe tuachane

And I feel alive
Ulikuwa wapi all the time
Penzi usiogope fame
Dunia yetu mi na we
Tuwe wote kila sehemu yeah yeah

I wanna be your main chick
Nakupenda (nakupenda)
I wanna be your main chick
Nakupenda (nakupenda)
Oh let me be the main chick
Nakupenda (nakupenda)
I wanna be your main chick
Nakupenda (nakupenda)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU