MISTARI YA WIMBO HUU

Kama ni makosa kupendelea moyo wangu kukuchagua
Hayo yote nisiumize moyo wako
Pia ujumlishe na yale yale yale mapenzi matamu
Ya kama halua ya Allah mali yangu yaliwa

Mapenzi matamu ya wawili mashallah
Walio pendana kwenye hii dunia kama adam na hawa
Kwa hii hali mi sijali nivumilie ntazoea
Kukonyeze titi na kujiamini kunisaliti si hatari
Kiota changu cha moyo ni zawadi
Zinukie hisia zangu kwako kama ua ridi
Nishaumizwa sana kukinyesha mvua baridi
Kwa jinsi ulivyo utesa staki urudi .
Tell Molina Ali naumia Ali naumia mapenzi
Tell Molina Ali nateseka

Kama ni makosa kupendelea moyo wangu kukuchagua
Hayo yote nisiumize moyo wako
Pia ujumlishe na yale yale yale mapenzi matamu
Ya kama halua ya Allah mali yangu yaliwa
Kama ni makosa kupendelea moyo wangu kukuchagua
Hayo yote nisiumize moyo wako
Pia ujumlishe na yale yale yale mapenzi matamu
Ya kama halua ya Allah mali yangu yaliwa

Pendera hupendi karaha
Nami sinyora nikose raha
Unantia hasara kula kulala
Na garagara unaniumiza roho
You my friend na uliniumiza roho
Kila weekend uko busy na hayo
Unayoyapenda ya kuuza sura
Nilisha nunua eti unapenda
Kutenda kwa yale yote unayo jiskia
Baby kwanini mateso mateso mateso mateso ya roho
Wengi wanasema usiniumize roho

Kama ni makosa kupendelea moyo wangu kukuchagua
Hayo yote nisiumize moyo wako
Pia ujumlishe na yale yale yale mapenzi matamu
Ya kama halua ya Allah mali yangu yaliwa
Kama ni makosa kupendelea moyo wangu kukuchagua
Hayo yote nisiumize moyo wako
Pia ujumlishe na yale yale yale mapenzi matamu
Ya kama halua ya Allah mali yangu yaliwa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU