MISTARI YA WIMBO HUU

Niulinganishe na nani
Ukarimu wa moyo wako
Nikulinganishe na nani
Sijaona mfano wako
Vita ya vituko vyangu
Mambo yote mabaya yangu
Bado uko karibu yangu wewe
Kuna wakati sirudi nyumbani na starehe za mjini
Awakumbatia watoto
Waonyeshe picha zangu mimi
Wewe wa kipekee mpenzi wangu
Wewe ndio mama yangu oh oh
Sina hata pa kugeukia pa kukimbilia
Unanivumilia sana oh mama
Mmh oh mama Mama Sangira
Oh mama wanangu mama ey
Sijui hata wanangu shuleni wanavaa vitu gani
Sijui hata wanangu kule wanakulaga nini

Oh mama
Oh mama
Oh mama
(Mama Sangira mama)
Oh mama
Oh mama
Oh mama
(Mama Sangira mama)

Binadamu binadamu
Baba Ayamu na mwingine
Si unakumbuka alisema nimerogwa sehemu nyingine
Sijapinda mama sijageuka
Sijui kipi kinaniharibu wowowoo
Moyo wako sijaona wa kufananisha nae
Nilikupata kwa bahati tu mama
Wazazi walipinga mimi kuwa nawe
Wazazi walipinga mimi kuoana nawe
Ona nilikataa sikusikiiza
Sikusikiiza mie
Ndo maana niko nawe nipende mama
Nipende mama Lolo na ubaya wangu mama

Oh mama
Oh mama
Oh mama
(Mama Sangira mama)
Oh mama
Oh mama
Oh mama
(Mama Sangira mama)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU