MISTARI YA WIMBO HUU

Iwe milele mama yoyo (yoyo)
Iwe milele mama yoo
She rock my world
You rock ma
You rock my world
Your colour is like coco (coco)
Cocoa butter  girl
She rock my world
Dunia yangu mama ooh

Muda unaruhusu tupete, hang’ang’anii pete
Hana hizo pepe, namjaza mabusu si mateke
Mrembo teke teke, hatuandikii mate
Tuliza mwanangu ujue ni mseke
Kanipeleka higher napaa bila ndete
Napaa bila kete, mtaani habari tete
Nipo mbali na vicheche, vicheche havimpendi
Mpaka mtoto wa kihuni nicheche
Cheche ruka unavyoweza
Geuka nguva au pweza
Nipo gereza la mahaba
Ni dhati unanikumbusha michezo ya kibaba baba (mama)
Your colour is like coco ni drama unanichanganya mnako
Ooh my God!

Iwe milele mama yoyo (yoyo)
Iwe milele mama yoo
She rock my world
You rock ma
You rock my world
Your colour is like coco (coco)
Cocoa butter  girl
She rock my world
Dunia yangu mama ooh

Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kumzungumzia yeye ni kutengeneza hit
Iende mtaani irudi kwangu mimi nileteeni hela zangu
Kama kumuimbia demu wangu ni dhambi nipelekeni motoni
Katenga sufuria ananipikia chakula cha jioni
Baada ya hapo ni tendo litakalompeleka mtoto peponi
Chuki usiku mwema mpo ndotoni
Kama kumuimbia demu ni dhambi
Wacheni nichomwe mimi, mimi against the world
Genge gentlemen, you rock my world girl
What neno, maneno kuntu juu ya instrumental
Ni vizuri najisikia kuona unajisikia vizuri
Ingawa mi si bosi kama Meek Mill
Hainishindi kulipia meal
Mbinu ya utajiri ni ubahili
Natumia kutia akili
Wambea siwaoni na sizifuati dalili
Maana halisi ya pair Nikki Wa Pili

Iwe milele mama yoyo (yoyo)
Iwe milele mama yoo
She rock my world
You rock ma
You rock my world
Your colour is like coco (coco)
Cocoa butter  girl
She rock my world
Dunia yangu mama ooh

Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kumzungumzia yeye ni kutengeneza hit
Iende mtaani irudi kwangu mimi nileteeni hela zangu
Hamna mwanamke bila mwanaume mwanume bila ya mwanamke
Hata uwe kama nduli Iddi Amini Dada
Umenibadilisha jina ati Mr Lover Lover (shaba)
Ananiweka kwenye wanks bunner kilele cha raha
Una big mwanya

Iwe milele mama yoyo (yoyo)
Iwe milele mama yoo
She rock my world
You rock ma
You rock my world
Your colour is like coco (coco)
Cocoa butter  girl
She rock my world
Dunia yangu mama ooh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI