MISTARI YA WIMBO HUU

Talk of the town
Lamar (uuh baado, uuh baadoo)
It’s a Fish Crab cookout
Present to you
Chege Jay Dee (aya ya ya ya yaayaa)
It’s a Fish Crab Cookout (bado, bado)
Mambo bado

Vijana mambo bado (aa aha)
Watoto mambo badoo (aa aha)
Mambo bado, mambo baado
Kenya mambo bado (aa aha, Uganda mambo bado (aa aha)
Mambo bado, Tanzania mambo bado
Mambo bado, mambo bado ooh oo oh
Mambo bado, mambo bado ooh oo oh
Cheki tunavyowaka na jua
Cheki nyama zilivyopungua
Tumekonda na kubaki mifupa mitupu
Tumechoka yaani mambo baado

Mambo baado (mambo baado)
Mambo baado (mambo baado)
Mambo bado, mambo baado (mambo bado)
Mambo baado (mambo baado)
Mambo baado (mambo baado)
Mambo bado, mambo baado (mambo bado)

Ngoba sawena aah (ndaga bwene)
Na ngoba sawena aah (inaniuma sana)
Ngoba sawena aah (ndaga bwene)
Na ngoba sawena aah (inaniuma sana)

Familia zetu zitainukaje na si hatujawezeshwa
Vikwazo vingi, walaji wengi, ni vipi si tutasonga?
Hivi tunasonga au tunarudi hakieleweki jamani
Mi huchapakazi, huyu mnyonyaji na mlaji iih

Mambo baado (haunaa!)
Mambo baado (haunaa!)
Mambo bado, mambo baado (mambo bado)
Mambo baado (mambo baado)
Mambo baado (mambo baado)
Mambo bado, mambo baado (mambo bado)

Ni kazi kubwa tunayoifanya lakini pesa kidogo
Kama kuimba sisi tunaimba lakini soko baado
Thamani yetu ni kubwa saana, heshima mbona hakuna
Mazao mengi tunayopanda lakini hatujavuna
Tunajikongoja na mazao yetu ya siri iii
Lakini bado hayajakidhi mahitaji iii
Watoto wanashindwa kusoma (aah naona huruma)
Ni nani atabeba lawama (aah kazi hakuna)

Mambo baado (haunaa!)
Mambo baado (haunaa!)
Mambo bado, mambo baado (mambo bado)
Mambo baado (mambo baado)
Mambo baado (mambo baado)
Mambo bado, mambo baado (mambo bado)
Mambo baado (haunaa!)
Mambo baado (haunaa!)
Mambo bado, mambo baado (mambo bado)
Mambo baado (haunaa!)
Mambo baado (haunaa!)
Mambo bado, mambo baado (haunaa!)

Chege Chigunda aah (mambo baado)
Komando Jide eeh (mambo badoo)
Chege Chigunda aah (mambo baado)
Komando Jide eeh (mambo baadoo)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI