MISTARI YA WIMBO HUU

Owaa owa ah ah eh
Owaa owa ah ah eh
Owaa owa ah ah eh
Owaah

Kila siku ninapoamka na kuianza siku mpya
Namshukuru Mola kwa kunilinda
Nafasi nyingine nikapewa
Labda nikijituma na mi ipo siku wataniletea
Nami niwe na vyangu niepuke ya walimwengu

Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Nami sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasemaaa
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Nami sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasemaaa
Ehee ehe ehee ohoo

Kukosa kitu leo sio tatizo
Nikitafuta nitapata kesho
Naamini nami ataniletea pamoja na magumu nayopitia
Kukosa kitu kwangu sio tatizo
Nikitafuta nitapata kesho
Naamini nami ataniletea pamoja na magumu nayopitia

Hey hey
Hawajui kuhisi kwa upendo
Amani na furaha siku zote
Maisha yetu ni uadui tu
Hatujui dunia tunaipita tu
Na kwenye maisha kuna kuanguka
Ila mi sitachoka nitainuka
Mpaka siku itakapofika ndoto zangu zote kukamilika
Na kwenye maisha kuna kuanguka
Ila mi sitachoka nitainuka
Mpaka siku itakapofika ndoto zangu zote kukamilika

Mmh!
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Nami sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Nami sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Ehee ehe ehee ohoo

Kukosa kitu leo sio tatizo
Nikitafuta nitapata kesho
Naamini nami ataniletea pamoja na magumu nayopitia
Kukosa kitu kwangu sio tatizo
Nikitafuta nitapata kesho
Naamini nami ataniletea pamoja na magumu nayopitia

Mmh aahh
Mmh ahh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU