MISTARI YA WIMBO HUU

Haya wee, haya haya wee , haya wee haya haya wee (haya wee)
Haya wee, haya haya wee haya wee haya haya wee

Siku hizi mapenzi pesa wasikudanganye mapenzi kupeti bwana
Wee watakucheka na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Ah mapenzi pesa wasikudanganye ni kupeti bwana
Wee watakucheka na juhudi uifanye sio tu kuvavanya

Kama mapenzi shilingi (eeh)
Mi nimetoa hadi Murano nikakimbiwa (Okay)
Vijonjo vingii (ehee)
Na udangote nlonao nikakaziwa

Wee ukitoa Murano mwenzako anatoa Benz mapenzi ni mchezo wa kishenzi
Pesa mbele ndo atakuenzi kiulaini tu kama Zenji

Si umeyasikia ku…
Aunt kwa Moze alivyotulia bila hata chomvi na mtoto kabisa akamzalia
Si unakumbuka ya Wolper (aah wapi)
Dallas kuchoka (saa ngapi)
Si akaondoka tatizo unasikiliza sana magazeti

Siku hizi mapenzi pesa wasikudanganye mapenzi kupeti bwana
Wee watakucheka na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Ah mapenzi pesa wasikudanganye ni kupeti bwana
Wee watakucheka na juhudi uifanye sio tu kuvavanya

Si unakumbuka kipindi kile we unatoka na nenda kamwambie
Walisema una bonge la domo eti leo handsome si mtonyo
Saa ndo maneno gani (ah ah)
Kabla hujafa hujaumbika usimuudhi Molana (Haya wee)
Tena usiombe yakakufika ya juzi sio jana (Ah Salaleeh)
Na bora niende zangu maana maneno yamekuishia
Nisije kuongea mwanangu mwishowe ukaja niharibia

Hata huyo Zari asingekupenda usingekua Diamond (Aah ziache dharau)
Usinidanganye (mi unanidharau) unatetea mapenzi umerogwa
Mapenzi bila pesa si ushoga

Aye lelele nasikia mbuzi kala mukeka binti kaenda kwao (lelelee)
Eti mafundi wamemuteka kakuachia mwanao
Sa nahisi unakosa adabu (aah unanionea)
Huna ustaarabu (mbona) yangu unayaongea
Na ntakupa adhabu ooh
Tatizo kitu kidogo mpaka tugombaneee

Siku hizi mapenzi pesa wasikudanganye mapenzi kupeti bwana
Wee watakucheka na juhudi uifanye sio tu kuvavanya
Ah mapenzi pesa wasikudanganye ni kupeti bwana
Wee watakucheka na juhudi uifanye sio tu kuvavanya

Haya wee, haya haya wee, haya wee haya haya wee (haya wee)
Haya wee, haya haya wee haya wee haya haya wee (haya wee)
Haya wee, haya haya wee haya wee haya haya wee

Basi baba baasi eeh  mpe nyonyoo!

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI