MISTARI YA WIMBO HUU

Ni heri uugue mengine bali sio mapenzi
Yanafanyaga watu wazima wanatokwa na machozi
Ni heri uugue mengine bali sio mapenzi
Yanafanyaga watu wazima wanatokwa na machozi
Ona sasa imekuwa karaha
Yamenifanya nimekosana na ndugu zangu
Ona sasa imekuwa balaa
Yamenifanya nimetengana na ndugu zangu
Mmh! Sababu ya yule fulani nakosa raha
Mmh! Sababu ya yule fulani nadhohofika
Mmh! Sababu ya yule fulani nakosa raha
Mmh! Sababu ya yule fulani nadhohofika

Mapenzi ni maradhi
Ona naugua mi maradhi mmh
Mapenzi ni maradhi
Omba usipatwe ni maradhi mmh
Mapenzi ni maradhi
Ona naugua mi maradhi uuh
Mapenzi ni maradhi
Omba usipatwe ni maradhi mmh

Hayanaga ujamaa, ukishatendwa ndo basi
Yanakatisha tamaa, usiyape nafasi
Jaribu uje uchungu wa mapenzi uujue eh
Ni kama ugonjwa utafute dawa utibiwe
Tatizo moyo (tatizo moyo)
Jama moyo (moyo wangu)
Naumia moyo (tatizo moyo)
Jamani moyo
Hata wenzako watakutupa kizani
Kauli zako wengine hautowatamani

Mapenzi ni maradhi
Ona naugua mi maradhi mmh
Mapenzi ni maradhi
Omba usipatwe ni maradhi mmh
Mapenzi ni maradhi
Ona naugua mi maradhi uuh
Mapenzi ni maradhi
Omba usipatwe ni maradhi mmh

Ona yalivyonikata hamu ya kula
Chakula kwenu kitamu, kwangu kichungu
Nashindwa kukila

Ona ulivyonikata hamu ya kula
Chakula kwenu kitamu, kwangu kichungu
Ye anajua

Mapenzi ni maradhi
Ona naugua mi maradhi mmh
Mapenzi ni maradhi
Omba usipatwe ni maradhi mmh
Mapenzi ni maradhi
Ona naugua mi maradhi uuh
Mapenzi ni maradhi
Omba usipatwe ni maradhi mmh

Mapenzi ni maradhi
Ona naugua mi maradhi mmh
Mapenzi ni maradhi
Omba usipatwe ni maradhi mmh
Mapenzi ni maradhi
Ona naugua mi maradhi uuh
Mapenzi ni maradhi
Omba usipatwe ni maradhi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU