MISTARI YA WIMBO HUU

Heyyy
Oh uuh (Chali Chali)
Eeeh
Ohh

Sikatai yule muonyesha wivu
Ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenza
Lakini pia uvumilivu
Na vitendo vya karaha vilimuumiza
Mwenzio mimi ni mtulivu
Na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma eh
Fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda lakini ni kama rafiki wa kima
Haya uliyofanya leo ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona

Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye
(mimi na yeye)
Kutokana na wako wivu ukadiriki kumuacha ajiue
(Kwanini why)
Unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda huwa kapenda kweli

Mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia

Feel free to love
Feel free to love

Wajua kuna waliobadilisha dini
Na yote sababu ya kupenda
Na kuna waliokimbia hii dunia
Sababu hiyohiyo kupenda
Yule alikupenda sana
Ninajua na mambo mengi umefanya minana
Best wangu nilimpenda umefanya mpaka sasa kajiua

Ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye
(mimi na yeye)
Kutokana na wako wivu ukadiriki kumuacha ajiue
(Kwanini why)
Unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Najua mwanamke akipenda huwa kapenda kweli

Mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia

Feel free to love
Feel free to love

Mapenzi yana-run dunia
Mapenzi yana-run dunia

Ally wa Lela mapenzi yana-run dunia
Eeh eeh ee eeh (feel free to love)
Eeh eeh ee eeh (feel free to love)
Ee eee (feel free to love)
Eeh eeh ee eeh (feel free to love)

Feel free to love (feel free to love)
Feel free to love (feel free to love)
Feel free to love (feel free to love)
Feel free to love (feel free to love)
Feel free to love (feel free to love)
Feel free to love (feel free to love)
Eeeh ehee
Eh ee ee eeh
Eee eeh
Eh ee ee eeh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU