MISTARI YA WIMBO HUU

Silence control room mixer
Music sio sayansi mi ni doctor we ni mister
Underground run verse kwenye rhythm
Upendo unavyo-sound ni maternal altruism
Mara moja kwa mwaka natulia na washikaji
Hitikadi nilizonazo soo mara moja kwa mwaka
Mara moja kwa mwaka nikiwa club mi incharge
Huwa na-dougie ila mara moja kwa mwaka
Siku zote utanikuta church sio mara moja kwa mwaka
Niongoze kwa moyo safi ka wafungwa na mukaka
Sipigi tungi mara moja kwa mwaka
Huwa napiga na nazima mara moja kwa mwaka
Mara moja kwa mwaka huwa natumia risasi
Usinighasi hichi kisasi ni mara moja kwa mwaka
Mara moja kwa mwaka na mrembo mkali nje ya wifie
Ila haifii mara moja kwa mwaka
High against we Mos Def electronic
High against me kila kona nafahamika
Mara moja kwa mwaka mavazi ni utamaduni
Kapuni maisha duni mara moja kwa mwaka
Mi ndo emcee pekee mwenye gari bila mkito
Dhahabu ni mali kama una zali unawasha jiko
Mara moja kwa mwaka ni tungi na vya Arusha
Mara moja kwa mwaka mi ni Mwinye vyote ruksa

Mara moja kwa mwaka nafanya balaa
Kwenye mitaa na hakuna anaeshangaa
Kasi bila utata nyota zinang’aa
Ukishangaa umeachwa kwenye mataa
Mara moja kwa mwaka nafanya balaa
Kwenye mitaa na hakuna anaeshangaa
Kasi bila utata nyota zinang’aa
Ukishangaa umeachwa kwenye mataa

Mara moja kwa mwaka ni maisha flani amazing
Mara moja kwa mwaka mpaka 6 with my baby
Nakula pweza nakesha na bata refu
Nadekezwa kama mtoto huku nashikwa ndevu
Iwe Kigali iwe Kampala Nairobeli
Tunarusha mistari zaidi ya vyombo na hausigeli
Siku hii hadi panya anakula paka
Wote tumewaka waka mara moja kwa mwaka
Napasuka kama mahindi ya bisi kwenye joto
Hii hatari new time process
Nafyatuka kama kibaka mchina kwenye chocho
Kaa tayari uvushwe kama Moses
Mara moja kwa mwaka mitungi pamba
Mara moja kwa mwaka tunafanya maadhimisho
Maadhimisho ya watu tulojichanga
Siku hii mi huuza mazao mpaka kichanda
Mikono juu kama mtu anaezama
Mikono juu kama mtu anaehitaji msaada
Mikono juu kama mtu anaeaga
Mara-mara-mara mara moja kwa mwaka

Mara moja kwa mwaka nafanya balaa
Kwenye mitaa na hakuna anaeshangaa
Kasi bila utata nyota zinang’aa
Ukishangaa umeachwa kwenye mataa
Mara moja kwa mwaka nafanya balaa
Kwenye mitaa na hakuna anaeshangaa
Kasi bila utata nyota zinang’aa
Ukishangaa umeachwa kwenye mataa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI