MISTARI YA WIMBO HUU

Oh twende!
Hizo stori za kale my boo mamushka
Nataka dollare my boo mamushka
Nataka na gare mamu-mamushka
(Hebu pandisha mlege!) Suruali tu inavuka
Na boss lady hajali kisa sio Zari
Ye huwa anatoa na hajali na
Ila we mia tu ugomvi ndani hauishi kama Unyango na Masakuu
Baby nilikuomba iPhone hujanipa mpaka leo
Mpaka usubiri uhongwe na Tyson dah!
Nikakuomba tuhamie Masaki
Na namba nikakupa eti hutaki fataki
Ah! Sijui nibebe begi tu mi nisepe
Maana naona ushaanza blah zako nyingi nyingi
Na kila siku we unalilia pete
Wakati wenzako wanaleta zawadi nyingi nyingi

Ungenioa ila tatizo lako Mario
Ni sum na mali oh
Nami mtoto wa kike bila salio
Nitashindwa Mr Mario
Mario
(Eeh kazi rahisi msingi kiuno bila ushuru)
Mario
(Eeh sina baby so niko huru)

Mamii nikikuagiza pizza nawe unaleta burger
Nataka vitu vikali wewe unaleta lager
You know why I trip maa? Hauna swagger!
Ni sawa ya collabo ya Khadija Koppa na Lady Gaga
Na… naona kama napoteza time cause
Sio mzuri halafu hauna chapaa
Ninunulie pamba mpaka niwe tozi
Sitaki za vitenge mamaa cause mi sio papaa
Sikufichi mi nakupenda kwa msimu
Nikiwa na njaa ama mi na hali ngumu
Wema ananilipia kodi najua ana majukumu
So Hamisa nimemuweka wa perfume
Oh-owh nimesahau afu birthday kesho
Nataka bangalou na keki iwe special
Pamba zangu nataka CB
Eeh utatisha ka zitakuwa za Louis V

Ungenioa ila tatizo lako Mario
Ni sum na mali oh
Nami mtoto wa kike bila salio
Nitashindwa Mr Mario
Mario
(Eeh kazi rahisi msingi kiuno bila ushuru)
Mario
(Eeh sina baby so niko huru mamii)

Ungenioa ila tatizo lako Mario
Ni sum na mali oh
Nami mtoto wa kike bila salio
Nitashindwa Mr Mario
Mario
Eeh
Mario
Ooh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI