MISTARI YA WIMBO HUU

Eeeh
Mateke

Yesu amempa shetani mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Yesu amempa shetani mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Mateke mateke mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Mateke mateke mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Wengi walinitazama wakidhani kuwa mi niko sawa
Pesa magari na show kila mahali
Ukweli ni kuwa sikukuwa na amani
Machozi kila mara huzuni kanijaa
Nilisumbuka we nililia eh
Nilisumbuka we hapo ndipo Yesu

Yesu amempa shetani mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Yesu amempa shetani mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Mateke mateke mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Mateke mateke mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru

Huko nyumbani mashida zakuandama
Stima maji hata bwana alienda
Marafiki nao zao wanakusemasema
Hapa kule wapi utaenda
Usilie we usisumbuke eh
Usilie we sema nami sasa
Yesu amempa shetani mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Yesu amempa shetani mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Mateke mateke mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Mateke mateke mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru

Kwa sababu ya mateke zake Yesu
Shetani naye yeye ameshindwa
Kwa sababu ya mateke zake Yesu
Shida nazo zote zimekwisha

Yesu amempa shetani mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Yesu amempa shetani mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Mateke mateke mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru
Mateke mateke mateke
Sababu ya mateke mimi niko huru

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI