MISTARI YA WIMBO HUU

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo

Aah!
Sikujua mapenzi balaa, tena ni maradhi ya moyo kupendaga
Tena mapenzi karaha, yanajenga chuki na choyo kwenye cover
Utu wangu una thamani ina maana kweli hakuvijua
Licha ya burudani na mapenzi yangu akayatimua
Utu wangu una thamani ina maana kweli hakuvijua
Uuh licha ya burudani ndani akaamua kutimuaa inauma sana

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo

Naumia, ubongo unapata mawazo (na mawazo mamaa)
Naumia, ubongo unapata mawazo (na mawazo)
Naumia, ubongo unapata mawazo (na mawazo mimi)
Naumia, ubongo unapata mawazo

Ona jini kisirani, kaingia kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani, naumia nalia na moyo wangu
Ona jini kisirani, kaingia kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani, mwenzenu nalia na moyo wangu
Kwa mi wivu mi ninao na roho yangu inaumia
Kweli wapenda nao ndo maadui zikitimia
Lile tunda langu la mara, leo limekuwa sumu kwangu
Ona tena sina raha, mi nacheka nalia na moyo wangu

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo

[Bridge] Naumia, ubongo unapata mawazo (na mawazo mamaa)
Naumia, ubongo unapata mawazo (na mawazo)
Naumia, ubongo unapata mawazo (na mawazo mimi)
Naumia, ubongo unapata mawazo

Utu wangu una thamani ina maana kweli hakuvijua
Licha ya burudani ndani akaamua kutimuaa inauma sana
Utu wangu una thamani ina maana kweli hakuvijua
Licha ya burudani ndani akaamua kutimuaa inauma sana

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI