MISTARI YA WIMBO HUU

Wasafi
Mhm

Alisemanga dunia ina mapambo yake eeh
Ukiacha majumba pesa magari ni wanawake eeh
Nimezunguka aah
Nimefika kwake eeh
Siwezificha nimeshanasa
Kwa pendo lake eeh
Halabaani
Kakuumba kimwana mwenye sifa ya upole
Ata mama kakusifu sana kitofauti na wale (wajana)
Kule nilizama tafadhali niokoe mamama
Unipulize nipoe

We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day

Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe)
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza (jiachie tu nikubebe)
Eeh umh umh
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata

Koleza moto tupike tembele
Kisamvu cha nazi njegele
Sisi kutishe kelele sikwachi iih
Linda na shamba wasije ngedele,
Kuku niitee kwa muchelee
Mii sipigani na wewe manatii iih
Ndio manaa kwako nimezamaa sitaki mii
Wanitowee mama maaa
Unipulize nipoe

We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day

Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe)
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza (jiachie tu nikubebe)
Eeh umh umh
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata

Eeh umh umh
Jiachie tu nikubebe
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto mi nakubembeleza
Na jicho lako la kungu kama lanikonyeza
Ayo Lizer

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU