MISTARI YA WIMBO HUU

Nimetembea tembea bara na visiwani
Ila nikajionea we ndo my number one
Natamani nikupe ila sina ah
Nimejaliwa upendo, eshima ah
Maneno yao matamu yasikuibe mama
Si unajua binadamu wabaya sana

Wana wivu hao
Hao hao
Wachonganishi hao
Hao hao
Wana wivu hao
Hao hao
Wachonganishi hao
Hao hao

Usije niacha kwa unyonge nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukanihelemea
Usije niacha kwa unyonge nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukala kwangu

Mwendawazimu kaingiaje
(Asije kitorondo)
Mwendawazimu kaingiaje
(Akanikatia uhondo)
Mwendawazimu kaingiaje
(Kitorondo, kitorondo)
Mwendawazimu kaingiaje
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendawazimu kaingiaje
(Oh kitorondo)
Mwendawazimu kaingiaje
(Akanikatia na uhondo)
Mwendawazimu kaingiaje
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendawazimu kaingiaje!

Kidogo nikileta mamii pokea usinune
Nikumbatie uni-kiss nijivune
Kesho nizidishe ufanisi nijitume
Tujenge hadi nyumba Paris Wanune
Vimchezo mchezo vya Saloon chunga wakipanga
Wasije kufunza pia uhuni ukawa unadanga
Kaanza Safari
Mchana jua kali
Usiku Haulali
Ah iya iya
Kaanza Safari
Mchana jua kali
Usiku Haulali
Ah iya iya

Wana wivu hao
Hao hao
Wachonganishi hao
Hao hao
Wana wivu hao
Hao hao
Wachonganishi hao
Hao hao

Kaanza Safari
Mchana jua kali
Usiku Haulali
Ah iya iya

Mwendawazimu kaingiaje
(Asije kitorondo)
Mwendawazimu kaingiaje
(Akanikatia uhondo)
Mwendawazimu kaingiaje
(Kitorondo, kitorondo)
Mwendawazimu kaingiaje
(Ikinasa mpaka uondoe)
Mwendawazimu kaingiaje
(Oh kitorondo)
Mwendawazimu kaingiaje
(Akanikatia na uhondo)
Mwendawazimu kaingiaje
(Ikawa nyumba ya shetani)
Mwendawazimu kaingiaje!

Mdogomdogo
(Usijali mama)
Mdogomdogo
(We wacha waongee)
Mdogomdogo
(Usiku na mchana)
Mdogomdogo
(Mpaka wanyonge)
Mdogomdogo
(Na ntakupenda sana)
Mdogomdogo
(Mahaba ninyonge)
Mdogomdogo
(Sijali lawama)
Mdogomdogo
(Wacha wanizonge)
Mdogomdogo
(Kachirii kachiri)
Mdogomdogo
(Kachiri we ngao yangu)
Mdogomdogo
(Mwenzako taabani)
Mdogomdogo
(Nilindie roho yangu)
Mdogomdogo
(Wasije wafurani)
Mdogomdogo
(Wakaiba tamu yangu)

Mwendawazimu kaingiaje
Mwendawazimu kaingiaje
Mwendawazimu kaingiaje
Mwendawazimu kaingiaje
Mwendawazimu kaingiaje
Mwendawazimu kaingiaje

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI