MISTARI YA WIMBO HUU

Kila msele wanacheki
Mwenyekiti wataketi bado nzito kuwa nyepesi
Mziki mnene kama bendi nasomeka kama cheti
Vyupa vingi kama kreti download kama base
Navyoficha kama nyeti bars kamba teti
Chapa fimbo na mjeledi na machizi wenye vyeti
Tuna-ball kama mechi
Hatari incase kifua mbele kama beji
Maisha mtihani usini-test
Uuuh leta bajawa sasa
Si ulidhani chai huu mgahawa sasa
Watoto si wanaumwa mi ndo na dawa sasa
Hii kwangu rahisi kawawa saa
Bounce ebu bounce ebu bounce ebu bounce
Tuna-bounce kila round tuko down kwenye sound
Wanasahau kwenye down tuko kwao na nahau
Baba yao mwana wao
Hatuna chawa baki kwao

Weka mikono juu
Amsha na tena amsha na tena amsha na tena amsha
Na tena amsha tena amsha tena amsha
Tena-tena tena-tena
Mikono juu
Amsha tena-tena amsha tena-tena amsha
Tena-tena amsha tena-tena amsha tena-tena amsha
Tena-tena amsha tena-tena tena-tena amsha

Watoto wamekufa wapatie mic
Na jinsi navyoangusha ukiinuka itakuwa surprise
Ebwana dah Nasikiiza mitaani kuwa wana-bite
Navyoanguka brah tafuta ramani but it’s a hide man
Nimeenda mega nice man
Niko baridi na barafu kwenye ndimi mi natama ice man
Naweza break aah na unavyojiremba unaweza pendwa
Ukijiachia yeah utaniachia mwanaume ndo ntalenga
Watoto wamekufa wapatia life
Naeza jenga ukuta wa moto na ujenzi wangu ni overheight
Hakuna choko kwenye sky
Vunja ugoko ukianza panda
Nyao nijuta zaidi ya ndoto na hizi ndula ni oversize
Naenda mbali overmiles nanusa joto napowarusha
Amsha jopo la mahakama kwa hizi styles nikisimama
High mkong’oto washa booster niweze ku-amplify the height
Niko na dogo ndani ya nyumba tuki-crucify the time

Weka mikono juu
Amsha na tena amsha na tena amsha na tena amsha
Na tena amsha tena amsha tena amsha
Tena-tena tena-tena
Mikono juu
Amsha tena-tena amsha tena-tena amsha
Tena-tena amsha tena-tena amsha tena-tena amsha
Tena-tena amsha tena-tena tena-tena amsha

Yoh
Bado sijui nsingekuwa mimi ningekuwa nani
Nsingekuwa mimi ningekuwa fani
Ningekuwa na vingi wote wangejua misingi
Bado nngesumbua mapimbi watu wasingewajua mtaani
Afrika mashariki na kati tikisa spika
Sio unasikika kwa shabiki na wack
Hakiki hamaki pita juu ya beat na track
Kote nafika so nasikika kila city kwa Rap
Hii mikono juu kimenuka
Juu kama Yesu anashuka
Amka kumepambazuka
Wahuni hatulali kwetu kila mda kumekucha
Mic test niki-test mic
Niko kwa kalamu niletee divai
Maisha matamu uki-test life
Left writer nika-write left wana-testify

Weka mikono juu
Amsha na tena amsha na tena amsha na tena amsha
Na tena amsha tena amsha tena amsha
Tena-tena tena-tena
Mikono juu
Amsha tena-tena amsha tena-tena amsha
Tena-tena amsha tena-tena amsha tena-tena amsha
Tena-tena amsha tena-tena tena-tena amsha

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI