MISTARI YA WIMBO HUU

Life is too short
Sania Lola rest in peace
Coweezy, Anna, Langa na Mac Malick
Anzisha muziki

If they ask what I’m doing, tell ’em I’m doing well
They say I’m a bad boy and I should be in jail
By the time I drop the shit, street is burning a hell
What more can I tell, muziki for sale
Is going down, is going down
You know how we roll it
Mtoto mzuri, tabia mbaya
Kiuno ka Shilole
Risasi vidole
Redio za mbao
We ukilala, tuko macho si tunapiga bao
Zetu chini chini zao kwenye mitandao
Pini baada ya pini, maneno hatusemi nao
Wasipokuwa makini ndo hawana chao
Wenye love na mimi ndo naruka nao
Sema, sema nae, kama Nae Nae
Haters namba haipatikani jaribu baadae
Mwenye uchungu azae
Omba mbawa upae
Washa mziki, ondoa viti watu wasikae

(Eee ee ee eeh)
Mikono juu, mikono juu
(Ooo oo oo ooh)
Mikono juu, mikono juu
(Eee ee ee eeh)
Mikono juu, mikono juu
(Ntalala vipi na goma liko uwanjani)
(Eee ee ee eeh)
Mikono juu, mikono juu
(Ooo oo oo ooh)
Mikono juu, mikono juu
(Eee ee ee eeh)
Mikono juu, mikono juu
(Ntalala vipi na goma liko uwanjani)

Ukataka kukatika, katika mpaka kuna kucha
Ukataka kutumia, tumia kama unatupa
Ukitaka kung’anhaa ng’anhe ng’an ng’aunha
Ng’aung’e ng’aung’e ng’aung’e ng’an ng’aunha
Viuna vinakatika, zinawavuka
Juu wanazivuta, wanaogopa zitashuka
Mimi ninawarusha, mkononi wana chupa
Wengine wapo counter, wengine wanapita
Kwenye gari wanashuka, ndani wanavuta
Wamekuja kujirusha, wamekuja kujirusha
Mic nimeshika, sauti inasikika
Sauti inavumisha, mpaka inapukutika
Kidemu kinashoboka, kinataka kujiweka
Kinataka kumegeka, kinataka mh mh
Nakibeba, nakivuta kwenye giza
Nakicheba, nashtukia “Acha kuingiza!”, wee!

(Eee ee ee eeh)
Mikono juu, mikono juu
(Ooo oo oo ooh)
Mikono juu, mikono juu
(Eee ee ee eeh)
Mikono juu, mikono juu
(Ntalala vipi na goma liko uwanjani)
(Eee ee ee eeh)
Mikono juu, mikono juu
(Ooo oo oo ooh)
Mikono juu, mikono juu
(Eee ee ee eeh)
Mikono juu, mikono juu
(Ntalala vipi na goma liko uwanjani)

Mi ndo habari ya mjini
Mi nawashusha chini
Mi ndo habari ya mjini
Mi nawashusha chini
Na-nasema Shishi, Shilole utanambia nini?!
Nasema Shishi, Shilole utanambia nini?!

(Classic Music!)
Juma Kazi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI