MISTARI YA WIMBO HUU

Nilishakuwaga na wangu
Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nilishakuwaga na wangu
Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo

Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ukiwemo utapeli
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ukiwemo utapeli aah
Moyo kiza kinene huwezi kujua
Yupi mkweli, yupi muongo anakuzingua
Na moyo giza nene huwezi kujua
Yupi mkweli, yupi muongo anakuzingua

Nilishakuwaga na wangu
Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nilishakuwaga na wangu
Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo

Yule fedha, huyu mvuto
Vishawishi na tamaa, ujana maji ya moto
Huyu mkubwa, yule mdogo
Vishawishi na tamaa, ujana maji ya moto
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka akiugua
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka akiugua aah

Nilishakuwaga na wangu
Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nilishakuwaga na wangu
Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo (Jay Dee)

Nilivua penzi, kumjali kwa malazi, mavazi, makazi
Aa ah! Kumbe mshenzi, hana hadhi, bure tu napandisha ngazi
Nikamweka wazi kwa paparazi
Nikamleta uswazi kwa wazazi
Kumbe sina demu naishi na jambazi
Mi naziba huku, kule pako wazi
Ah no, sitaki tena kuumia moyo
Sitaki tena unione poyoyo
Sitaki hilo penzi la kichoyo
Mi sitaki mifupa mi kibogoyo
Nataka vile vitu laini, no money, no honey nimebaini
Kwanini naumia kila saa, wakati penzi lako haliendi bila ya chapaa

Nilishakuwaga na wangu
Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nilishakuwaga na wangu
Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu
Akaniacha akaenda
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo
Nikabaki nalia na roho
Nikabaki nalia na moyo

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI