MISTARI YA WIMBO HUU

Nimeamua kupumzisha moyo wangu
Maana siku nyingi unateseka juu yangu
Kutwa kupelekwa puta na akili yangu
Eti kisa kuridhisha mwili wangu ah
Acha nikajaribu na kwingine
Sio fungu langu pengine

Moyo sukuma damu si vingine
Mwili usije zusha na vingine
Kuanza kuparama na mengine
Moyo sukuma damu si vingine

Khaaa

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
Aeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaa aaaeeh aaeee
Moyo Sukuma damu si vingine
Aaah aaaeeh aaaeee
Usichanganye na mengine
Aaaaah aaaah

Kwenye mapenzi yalonifika sio siri yangu
Maana wengi mliona hali yangu
Kitambaa kiliyachoka machozi yangu
Tabu niliyoipata si stahili yangu
Aha haaa
Sasa mimi ni mtu mwenginee
Nilie funza na mengi eeh
Moyo sukuma damu si vinginee
Tenaa
Usidanganywe na mwili eeh
Umeumbwa kutamani mengi eeh
Usije nikumbusha ya kule eeh khee

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaa aaaeeh aaeee
Moyo Sukuma damu si vingine
Aaah aaaeeh aaaeee
Usichanganye na mengine

Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Danganya danganya danganya moyo
Usiskize ya mwili yatadanganya danganya moyo
Eeeeeeiiiiiih

Aaaaeeh aaaeeh aahh
Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaahh
Moyo usichanganye na mengine
Aaaaeeh aaaeeh aah
Moyo Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaah
Usichanganye na mengine
Aaaaeeh aaaeeh aaaah

Mo mo moyo
Sukuma damu si vingine
Aaaeeh aaaeeh aaah
Moyo moyo
Aaah menginee
Mo mo moyo
Sukuma damu si vingine
Moyo moyo
Sukuma damu si vingine

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI