MISTARI YA WIMBO HUU

Uwezo sina n’ngalin’jengea nyumba
Uuh nyumba uwenda angekubali
Pia sauti sina n’ngali muimbia rhumba
Uhh rhumba ili asiende mbali
Nimenaswa na ulimbo tena ni maji ya shingo
Nyuma nyuma ka mgambo natamani nimwambie
Mi naogopa michambo najipa moyo mawindo
Niisute ya pendo mi nataka niwe nae

Hata waniite zoba waseme ameniroga
Kumuacha ndo siwezi nimeridhia
Ye ndie namba moja wengine watangoja
Kusema ndo siwezi mi naumia

Pale napomuona
Mwa ndelele mwa ndelele mwa ndelele
Jamani moyo
Mwa ndelele mwa ndelele mwa ndelele
Pale napomuona
Mwa ndelele mwa ndelele mwa ndelele
Yarabi moyo
Mwa ndelele mwa ndelele mwa ndelele

Ishara Mungu alikuumba kwa udongo mchanga
Nikufanyie ndumba uh na ukanizimia
Nikusanye waganga Zanzibar na Tanga
Wahodari wa nyanga bado nafikiria
Macho yangu hachoki mtizama
Ukiwa mbali nami moyo unalipuka (ayaya)
Tatizo langu nashindwa kusema
Hivi kisa nini moyo unateseka
Nimenaswa na ulimbo tena ni maji ya shingo
Nyuma nyuma ka mgambo natamani nimwambie
Mi naogopa michambo najipa moyo mawindo
Niisute ya pendo mi nataka niwe nae

Hata waniite zoba waseme ameniroga
Kumuacha ndo siwezi nimeridhia
Ye ndie namba moja wengine watangoja
Kusema ndo siwezi mi naumia

Pale napomuona
Mwa ndelele mwa ndelele mwa ndelele
Jamani moyo
Mwa ndelele mwa ndelele mwa ndelele
Pale napomuona
Mwa ndelele mwa ndelele mwa ndelele
Yarabi moyo
Mwa ndelele mwa ndelele mwa ndelele

Mi nitaringa ntaringa na yeye ntaringaje
(Nikiwa nae)
Ntaringa ntaringa na yeye ntaringaje
(Nikimpata oh oh)
Mi nitaringa ntaringa na yeye ntaringaje
(Nitaringa nae)
Mi nitaringa ntaringa na yeye ntaringaje
(Nitaringa nae)
Mi nitaringa ntaringa na yeye ntaringaje
(Nitaringa nae)
Mi nitaringa ntaringa na yeye ntaringaje
(Nikiwa naye)

Na Sheddy Clever
Ntaringa ntaringa na yeye ntaringaje
Mi nitaringa ntaringa na yeye ntaringaje
Harmonize baby

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU