MISTARI YA WIMBO HUU

Uh I don’t fear man I was born here man
Ukitaka kufa nakununulia gun
Leo soda no beer man we are done
Hiki kitenesi na bolli tuliza
Unatuambia ama unatuuliza
Sieleweki kama nimepuuliza
Acheni zenu feki macho zinatuumiza
Back to the top vuu nimepaa
Kigumu nimedumu nimekaa mchum ile mwaa
Na bonge la toto nataka mwaga sumu
Ila rooms zimejaa oh ooh polisi ndo masela wa mtaa
Sichezei kamali hela ya mkaa
Me ndo kidume halisi feki mtume hanithi

We mpe habari
Alipojitusu mwambie kayakanyaga
Yani mbona shwarii
Wakijipindua tuwakusanya mazagazaga
Yule demu alijitusu kwa Savana
Nilipomfosi akabana
Yule demu alijitusu kwa Savana
Nilipomfosi akabana

Hiyo unanunua buku tabata
Wakishua kaja huku kadata
Tanua kula kuku na bata
Unajua natamani kuku pakata
Maduu wanahongwa beer
Niko juu kama bomba deer
Uno kama Ray C nyonga dear
Gonga cheers kesho tutabonga pia
Usilete tantarira usipelekwe ka tahira
Usibweteke fuata dira
Vaa msuli pwete hata dira
Mtekenye acheke
Tuliza mawenge na kitete
Sitishwi na kicheche
Maana ninarungu la kepepe
Tunawaliza hadi vibaka
Zikipanda tunamaliza kwenye vichaka
Me ndio kidume halisi fake mtume hanithi

We mpe habari
Alipojitusu mwambie kayakanyaga
Yani mbona shwari
Wakijipindua tuwakusanya mazagazaga
Yule demu alijitusu kwa Savana
Nilipomfosi akabana
Yule demu alijitusu kwa Savana
Nilipomfosi akabana

Kuna masister duu na mabibi bibi
Kalio nikatuu kama gigi gigi
Nishapita na wengi kama digi digi
Kitaa kinaniamini mimi ndio gwiji gwiji eh
Kama mifuku imetuna eeh we mlete njoo nae
Kama golori nawapuna eh yule mapepe mkatae

We mpe habari
Alipojitusu mwambie kayakanyaga
Yani mbona shwarii
Wakijipindua tuwakusanya mazagazaga
Yule demu alijitusu kwa Savana
Nilipomfosi akabana
Yule demu alijitusu kwa Savana
Nilipomfosi akabana

Stereo
It’s your boy
Bad man Rich Mavoko

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU