MISTARI YA WIMBO HUU

Nasema tena mrembo, oh oh
Nasema tena mrembo, wewe, wewe

Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi ni la muafaka
(Lala lalala mrembo!)
Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi ni la muafaka

Macho yako kama goroli
Pua zako za mmasai
Midomo yako minene
Sina la kusema tena wewe
Popote niendako, chochote nifanyacho
Nakuwaza wewe, mrembo

Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi ni la muafaka
(Lala lalala mrembo!)
Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi ni la muafaka

Popote niendako, chochote nifanyacho
Nakusaka wewe, mrembo
Miaka na dahari, kwa udi na ubani
Sikuoni wewe, mrembo

Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi ni la muafaka
(Lala lalala mrembo!)
Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi ni la muafaka

Hawanitishi tishi (gado), hawanibabaishi (ngangari!)
Ule mpango vipi? (Sema nao), tuliagana vipi? (Gado)
Hawanitishi tishi (ngangari), hawanibabaishi (gado)
Ule mpango vipi? (Uh yeah), tuliagana vipi? (Uh yeah)

Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi ni la muafaka
(Lala lalala mrembo!)
Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi ni la muafaka

Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi ni la muafaka
(Lala lalala mrembo!)
Mrembo wangu, niambie wewe nini unataka
(We sema tu)
Pendo lako kwangu mimi ni la muafaka

Ntakupa gari, ntakupa fedha
Ntakupa kila kitu nimesema
Haunielewi? We mtoto vipi!!
Nakwambia, tia akili
Kila kitu, kila kitu nitakupa
Kila kitu nitakupa

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI