MISTARI YA WIMBO HUU

Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yuleEh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yule
Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yule
Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yule

Si ndo yule yupo kwenye vigadi
Si ndo yule alomwaga pombe ya Madee
Si ndo yule anajiita mbeba lawama (ndo yule yule)
Si ndo yule fix mtu wa diss
Wanamuhisi ana AIDS
Na uswazi anajiita ndizi nyama (ndo yule yule)
Si ndo yule mrefu na ana shepu kidogo (ndo yule yule)
Anasema kwao Mbezi Beach kumbe Kigogo (ndo yule yule)
Si ndo yule mshamba Ommy kamuimbia Tupogo (ndo yule yule)
Tena akivua wigi tu ana kichogo (ndo yule yule)

Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yuleEh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yule
Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yule
Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yule

Labda ndo yule niliyekuona nae kitaani mlikuwa mkigombana
(Aah aa sio yule)
Ama ndo yule aliyeiba pesa zako wakati unaenda kuoga
(Mh sio yule)
Sasa nani mi simjui (hapana sio yule)
Wananichanganya mi siwaelewi (sio yule yule)
Nani
Nani simjui (hapana sio yule)
Wananichanganya mi siwaelewi (sio yule yule)

Ndo yule club we nusu apigane
Eti kisa mwanaume hakumpa chake (anhaa ndo yule)
Ndo yule yule ambae hakosi club (kumbe ndo yule)
Anatembea na vijana wee mpaka vibabu (ndo yule yule)
Aki-date na staa huandika kwenye kitabu (anhaa ndo yule)
Alijichubua kama Mwarabu (ee ndo yule)

Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yuleEh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yule
Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yule
Eh eh eh (aaha)
Eh eh ndo yule yule
Ee Msambinungwa (eh eh)
Ndo yule yule

Anna Luza usijiulize mara mbili (ndo yule yule)
Chief Chief Kiumbe usiumize kichwa kifikiri (ndo yule yule)
Abdul Bonge yule uliyemuoneshea kidole (ndo yule yule)
Ally Jani yule uliyempiga jana (ndo yule yule)
Yoo Kiba for real
Mtoto wa ghetto
Tanzanian boy
The gangs’ta mula
Niko na Tunda Man
Sheddy Clever iiish
Burn Record
Pop it in
(Burn Records)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU