MISTARI YA WIMBO HUU

Ule ugonjwa ulioniacha nao,
Bado sijapona
Hata mapenzi ulioniacha nayo,
Yamebaki jina
Hospitali ooh,
Za dunia nzima
Nimezunguka kote,
Wamepima majibu hakuna

Hata ngoma sina (sina ooh)
Pressure sina (sina eeh)
Ugonjwa sina (sina)
Jina lako ninalo
Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza (ungeniacha hata na mshumaa)

Alioo iyoo
Nakumiss

Tena!
Tutaonana
Tena!
Hata Mungu akipanga leo
Tena!
Nikufe kesho
Tena!
Tutaonana tena
Tena!
Ifike kesho uliamba
Tena!
Waniweke kwa mchanga
Tena!
Nikufe kesho
Tena!
Ali ooh

Labda nikukumbushe,
Nilipokuvisha pete
Ulisema machache,
Hauniachi mpaka nife
Maana ngoma sina (sina ooh)
Pressure sina (sina eeh)
Ugonjwa sina (sina)
Jina lako ninalo
Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Mi naona giza (ungeniacha hata na mshumaa)

Alioo iyoo
Nakumiss

Tena!
Tutaonana
Tena!
Hata Mungu akipanga leo
Tena!
Nikufe kesho
Tena!
Tutaonana tena
Tena!
Ifike kesho uliamba
Tena!
Waniweke kwa mchanga
Tena!
Nikufe kesho
Tena!
Ali ooh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU