MISTARI YA WIMBO HUU

Sijui ka ntaona kesho
Ka ningali na uwezo wa kuifanya ntaifanya hadi mwisho
Mwambieni uyo devo
Simwogopi shetani
Sir God yuko nami hadi kifo
Ka ntaona kesho
Nipe nguvu na uwezo wa kijana na akili za mzee
Daima ni we
Imara wasiniangushe

Naona saa
Kila siku ni zawadi toka Maulana
So haja gani ushike tama mama
Majaribu huisha ooh ae
Na hata ka
Maadui zangu watashikana nao njama
Siwaogopi nasimama mum
Ya kiama yao yaja eeh

Hio ndio pace nasonga nayo
Wanashangaa hakuna stress nakuanga nayo
Naishi ka sina case mahakamani
Au deni za majirani niko fresh nje na ndani
Oh ae

Namwogopa Mungu pekee
Wanadam’ kija kuntafash naomba Mungu ntetee
Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe
Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke
I know you love me know you love me
So I don’t fear nobody but you
I know you love me know you love me
Nisitetemeke
I know you love me know you love me
So I don’t fear nobody but you
I know you love me know you love me
Nisitetemeke

Ah
Siamini joh ju vile naishi life
Ni ngumu kuamini hii si ndoto
Sijui kesho vile itakaa
Kwa hivyo leo nitaifanya ka kidogo hua hairidhishi roho
Yani sana
Tena sana
Hata wale wananchukia wananiheshimu bruh mi si kidogo
Ah sibabaiki nikiskia mkiongea
Nazidi kuwapa mi kisogo na kama saa sismami
Staki life iniwache mataani mtaani
Mwenyezi nchungie familia yangu na pia
Za wale wote sauti yangu wanaiskia
Tupe afya nzuri na maisha matamu
Barabara zetu zinyooke
Waone mfalme ni wewe
Wa kupewa shangwe ni wewe
Wa kupewa shagwe ni wewe

Namwogopa Mungu pekee
Wanadam’ kija kuntafash naomba Mungu ntetee
Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe
Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke
I know you love me know you love me
So I don’t fear nobody but you
I know you love me know you love me
Nisitetemeke
I know you love me know you love me
So I don’t fear nobody but you
I know you love me know you love me
Nisitetemeke

I pray we
Me and my people we never die
Say we live forever
And forever we multiply
And wherever we go
Ni nini wanaweza nishow
Nata ka sina kitu
Uko na mimi kila siku
Kila siku
Wewe pekee

Namwogopa Mungu pekee
Wanadam’ kija kuntafash naomba Mungu ntetee
Maneno yao yasiniumize nfanye sugu wewe
Wakitry kuntisha naomba nisitetemeke
I know you love me know you love me
So I don’t fear nobody but you
I know you love me know you love me
Nisitetemeke
I know you love me know you love me
So I don’t fear nobody but you
I know you love me know you love me
Nisitetemeke

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU