MISTARI YA WIMBO HUU

Yeah man its yo boy Switcha
Lemmi talk to this girl one time
Listen…

First time tumekutana ilikuwa kitaa
Nikakuita kukupa hi ukapoteza tambaa
Sema kweli ilini-touch sikukata tamaa
Nikapiga moyo konde utakuwa wangu mamaa
Second time tulivyo-meet ilikuwa kwa club
You were dancing with your friends and looking so fab
Ukanicheki nikakukonyeza then you gave me a smile
Excuse me can I buy you a drink ukasema alright
Baada hapo we started talking and dancing
Getting to know you and you know me
Joking and laughing yeaah
So that’s how it went my baby girl and now girl yo mine

Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine

Daima uli-stay true hukubabaika
Waliokuja na magari kukutishia pesa
Hukutetereka my baby ukanikumbata
Kamoyo kalidunda japo nilijitunisha
And now we are finally here and we’re about to get married
Do you remember that day when I told you that nitakuoa
Uwe mke wangu wa ndoa
Ni mimi nawe wewe na mimi milele yote
Now you walking down the aisle with a sweet sweet smile
Ushapendeza baby girl you look so fine
I do you do tushavishana pete (alilililiii)
Vigeregere kote

Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine

Mara ya kwanza tu nakuona wow nikakuelewa
Nikaamua ku-propose fasta sikuchelewa
‘Cause nili-fall inlove na sio kukutamani
Najivunia leo nimekuweka ndani
Japo wanaleta beef hawa masharo wa mtaani
Vitisho vingi vya mapedejshee flani
Sijali namshukuru Mungu aliye juu
Kwangu wewe ni zaidi ya dreams come true
Kila tunapotembea pamoja kama pair
Majina yetu ya mwisho wote leo yanaishia na Ngwea
Tuna-shine upo fine napenda unavyo-design my valentine
And I’m so glad your mine…

Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine
Baby yo mine

Yeah I go by the name of Rocka Quick
Hahahaha
I got ma big brother Cowbama
Yeah tunamwimbia mtoto mzuri
Mashaallah
I love you baby
Mwaaah

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI