MISTARI YA WIMBO HUU

Ilikuwa usiku wa jana
Asubuhi ilipoamka nikajikuta na furaha isiyo kifani
Kidogo nilistuka simu ilipoita nilipokea nikasikia analia
Akashindwa hata kuongea nikaisi msiba ndio umefika
Akauliza umelala ooh baby nalia na mola
Nimeshateswa na penzi nakosa hata raha
Nahisi vibaya naona nakupenda sana

Uuh baby you’re my everything my everything
Kila nachofanya kwa ajili yako my everything
Hatakama me sina you’re my everything my everything
Tunapendana kwa sana you’re my everything my everything
(Your my everything my everything)
She’s my everything you’re my everything my everything
My everything my everything

Mwili anavyojiona kama yupo paradise
Anasikia raha mwili wake nikiushika
Haitaji stress tena anataka tu furaha
Na me mwendo ule ule sitaki mwangusha
Maumivu hataki tena ooh baby hutojuta kupenda
Hata mimi mapenzi ooh baby yashanitesa sana
We lia na mola walimwengu wakiweka husuda
Mchana nalala usiku nafanya ibada

Uuh baby you’re my everything my everything
Kila nachofanya kwa ajili yako my everything
Hatakama me sina you’re my everything my everything
Tunapendana kwa sana you’re my everything my everything
(Your my everything my everything)
She’s my everything you’re my everything my everything
My everything my everything

You’re my everything my everything
You’re my everything my everything
You’re my everything my everything
La mujer de mi vida we kila kitu
You’re my everything my everything
You’re my everything my everything
You’re my everything my everything
You’re my everything my everything

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU