MISTARI YA WIMBO HUU

Lala, lele, I’m living my life
Lala, lele, I’m living my life
Lala, lele, I’m living my life
Lala, lele, I’m living my life

Thank you Lord
Baba na mama, wamenileta kwenye dunia, eh!
Thank you Lord for the life
Japo kuna mengi ninapitia
Unaecheka nae kwenye raha a a
Kwenye shida atakupa jerahaa
Pindi akigeuka masaaa
Kizuri kinakuwa kinyaa
Aliekuwa rafiki atakuona mzigo
Huna nyumba, gari, unauza genge Mabibo
Au baby baby unaemtoa dinner
Pesa zikiyumba, “kaa mbali wewe kima!”

Lala, lele, I’m living my life
Lala, lele, I’m living my life
Lala, lele, I’m living my life
Lala, lele, I’m living my life

Kitambo mi nachana zaidi ya wanyamwezi
Mtaongea sana nyie ma-young hamniwezi
Mtazidi kupenga kisa stress mpaka totoro
Nawanyima chakula mwaka huu mule magodoro
Ku-rap mi ni mkali, style na mitindo
Uliza Hamadi Ally alivyonkutaga chimbo
Nilikuwa naosha magari leo namiliki bingo
Asee mi ni mkali kolo nalichapa fimbo
Rafiki wa kweli moyo wangu, yeah, lala lala la
Japo niko peace na wanangu, yeah
Don’t mess up with my life

Lala, lele, I’m living my life (yes I’m living, I’m living)
Lala, lele, I’m living my life (yes I’m living, I’m living)
Lala, lele, I’m living my life (yes I’m living, I’m living)
Lala, lele, I’m living my life (I’m living my life)

Koni nasirirwe nisina thaman,
Bora ninichale na MULUNGU Wani
Familia yane na vazazi vane
Mjukulu wa mboja nini namba moja
Japo wanasema mengi, lakini mi siongei
I think baada ya leo yaeza kuja better day
Ndani ya week naziheshimu seven days
Kama haunaga kazi piga goti tu-pray
Karibu A City, kutoe tongo tongo
Jiji la matajiri, halinaga longo longo
Msomi Nikki Wa Pili, mi niliachaga Makongo
Arusha Ngarenaro kwenye ramani ya Bongo

Lala, lele, I’m living my life (yes I’m living, I’m living)
Lala, lele, I’m living my life (yes I’m living, I’m living)
Lala, lele, I’m living my life (yes I’m living, I’m living)
Lala, lele, I’m living my life (I’m living my life)

Ambae anaijua kesho yake anyooshe kidole juu
(No one knows tomorrow)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI