MISTARI YA WIMBO HUU

Eiyeeh Ruby
Eiiiiyeh Thomas

Mapenzi hayana mwenyewe
Unaweza penda kijana au mzee eeh
Niite jina langu baby
Huenda nafsi yangu itapoa aah aaa
Shika moyo wangu baby
Unavyokwenda mbio wewe utapoa

Aaahha aa
Kuna muda namuomba Mungu angekuleta mapema
Oh oh ohh uu
Ila bado sio mbaya
Wewe ndo unaejua maumivu yangu iii baby
Ila bado sio mbaya
Wewe ndo unaejua maumivu yangu

Siko radhi unitoke machoni iii iih
Tembea nami ndotonii yeahh
Ntakuweka moyoni iihi iih
Bila hofu rohoniii baby
Moyo wangu tembea na yule
Na yulee
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule
Mtazame yulee
Ndo namwamini saaana

Aaah aaah aaa aahh

Baby sitaki kutazama nyuma tena
Mmh maumivu nilishayaona
Wengi walinipotezea muda
Mmh hakuna nilichokipata

Aaahha aa
Kuna muda namuomba Mungu angekuleta mapema
Oh oh ohh uu
Ila bado sio mbaya
Wewe ndo unaejua maumivu yangu iii baby
Ila bado sio mbaya
Wewe ndo unaejua maumivu yangu

Siko radhi unitoke machoni iii iih
Tembea nami ndotonii yeahh
Ntakuweka moyoni iihi iih
Bila hofu rohoniii baby
Moyo wangu tembea na yule na yulee
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule mtazame yulee
Ndo namwamini saaana

Siwezi ukabue maisho yangu
Yatanaimi ndu tell meee
Eeee eeyy eii eeii

Moyo wangu tembea na yule na yulee
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule mtazame yulee
Ndo namwamini saaana
Moyo wangu tembea na yule na yulee
Ndo nampendaga
Macho yangu mtazame yule mtazame yulee
Ndo namwamini saaana

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI