MISTARI YA WIMBO HUU

Maaa aaaaaah
Yo!
Ma aaaah ieee

 

Ukimwona kapendeza
Si utafikiri katokea mbinguni
Ni mtoto mkali kaumbika mamaa eeh
Nahisi kama nishawahi kumuona
Kafanana na naniii
Kwani ni naniiii
Demu fulaniii kama namjua
Kafanana na naniii
Kwani ni nani ieee
Demu fulani yeyeee kama namjua
Kiba weweweee yeyeyee ieee
Ali we yeyeyeyeee iee
Kama namjua
Kiba weweweeee
Unamjua huyu demu didididi didididi deee

Iyeyeyeye iee iyeyeyeye iee iyeyeyeye ieee ieee
Iyeyeyeyeee iyoooh iye oooh
Namuona tu kasura kazuri ni binti fulani yeeee
Marashi mazuli na gari kali yeeee
Ni kweli ampendezaa
Kama ni hurulainiii
Mimi ni demu wangu huyooo (ninagharamia)
Kweli amependezaaa hurulaini ieee
Ni demu wangu weweee (ninagharamia)
Bella weweweweeeee ooh iee
Kwani vipi wewweeeee (ninagharamia)
Bella weweweweeee
Unamjua huyu deem dididi didididi dadadaaa

Oh no no nashindwa kuvumilia
huyu mtoto kanipagawisha
Kila nikikutana naye moyo wangu unadundadunda
Nataka tu kujuana naye awe kama rafiki wangu
Labda moyo wangu itatulia tuliiia

Bella siachi raha kwa ubishi na mvumilivu hula mbivu ooh
Nishamaliza ngombe nzima kabaki mkia huyooo

Azali azalili azali mwasikitoko
Meifo balula ile boya azali na bote naye
Azali mwasikitoko
Meifo balula yeyeee oya azali na bote naye
Ngana sengi tobina mama
Azali azaliii azali mwa si kitoko oh
Meyifo balula ile boya zali na bote naye
Azali mwasikitoko
Meyifo balula yee ( kuteka na ngai ye mwasi na ngai ye iye )
Oye zali na motema yeye (na lingio lingiomotema yeyee)
Ngana sengi tobina mabina

Katee katee (kate)
Katika kata (kata)
Kate katee
Yako kata loketo mama
Yaka tobina mabina mboka
Katee katee (kate)
Katika kata (kata) kate katee
Yako kata loketo mama
Yaka tobina mabina mboka
Katee katee (kate)
Katika kata (kata) kate katee
Yako kata loketo mama
Yaka tobina mabina mboka
Katee katee (kate)
Katika kata (kata) kate katee
Yako kata loketo mama
Yaka tobina mabina mboka

Ooh mabina mboka yako
Kata loketo mamaaa
Iyeyeyeye ieee iieeee ooh ieee ooh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU