MISTARI YA WIMBO HUU

Nahisi Upo – Gilad na Bensoul

I see you in my dreams bado nakuona
Me I’m just like anyone
Saa zingine nikifa moyo nahisi upo
Unaniinua I’m just like anyone
Saa zingine nikifa moyo nahisi upo unaniinua yeah
Saa zingine nikiwa nimefunga macho nakuona
I see you in my dreams
Saa zingine kukiwa kumetulia nahisi upo

Tell me can you feel it too nahisi upo
Sometimes nikifunga macho
I still see you in my dreams bado nakuona
I still see you in my dreams bado nakuona bado nakuona

There’s a moment you know that
This feeling is the right one and you never wanna let it go
You are the reason everyday I take flight
Wewe ndio mwangaza wakinizimia light
Nakuwa close to you is what I wanna do
Umenifanya napepea hisia zangu ziko juu
Kuwa close to you is what I wanna do

Unaniinua yes sire unaniinua
Hujawahi niweka down no no oh
Nakuona in my dreams
Every time I close my eyes
And I never wanna let you go
I chose you you chose me
You’re the only one who knows me
And I never wanna let you go

Nakuwa close to you is what I wanna do
Umenifanya napepea hisia zangu ziko juu
Kuwa close to you is what I wanna do
I see you in my dreams that’s all I wanna do yeah eeh
Nahisi upo can you feel it too

Sometimes nikifunga macho
I still see you in my dreams bado nakuona
I still see you in my dreams bado nakuona bado nakuona
(Nakuona in my dreams every time I close my eyes
and I never wanna let you go)
I still see you in my dreams bado nakuona
(I chose you you chose me you’re the only one
who knows me and I never wanna let you go)
I still see you in my dreams bado nakuona unaniinua
Saa zingine nikiwa nimefunga macho nakuona
I feel you when I close my eyes
Saa zingine kukiwa kumetulia nahisi upo yes sire
Nahisi upo hujawahi niweka down no no unaniinua
Hujawahi niweka down down down down down down down…

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU