MISTARI YA WIMBO HUU

Nai nai
Haki ya Mungu walai ninakuzimia
I was shy (shy)
You remember that day niliyokutokea
Wanasema why (why)
Penzi lako sikatai limenikolea
Ushanitoa nisha (shai(
Wengine hawafai nimejionea
Ai nyota haing’ai (ng’ai)
Bila we haing’ai unaniwezea

Jamani why (why)
Why (why)
Why (why)
I feel to die (die)
Die (die),
Die (die)
Jamani
Why (why)
Why (why)
Why (why)

Nai nai
Ukinikubali sikatai jua you’re already in my mind
Ukinipa sikatai
Nakupenda sana you’re always in my mind
Always in my mind
Swaga zinanimaliza
Always in my mind always in my mind

Shopping iwe China au Dubai, nitagharamia
Walosema haufai, wako wapi walaghai, wangetupania
Mwenzio najidai, ai, kuwa nawe najidai, nakupenda dear
Nipe nifurahi, nipe yote nifurahi, wangu malikia
Motema nangai,ngai, usukari ninywe chai, umenikolea

Jamani why (why)
Why (why)
Why (why)
I feel to die (die)
Die (die),
Die (die)
Jamani
Why (why)
Why (why)
Why (why)

Nai nai
Ukinikubali sikatai jua you’re already in my mind
Ukinipa sikatai
Nakupenda sana you’re always in my mind
Always in my mind
Swaga zinanimaliza
Always in my mind always in my mind
[Bridge 2 – Alikiba] Oh you’re always in my mind
You’re always in my mind
You’re always in my mind
You’re always in my mind
Hey oh you’re always in my mind
Oh I need you
You’re always, you’re always in my mind
You’re always
Yeah

Dimpoz kwa Poz
Super Handsome
Ali K for Real

Nai nai
Ukinikubali sikatai jua you’re already in my mind
Ukinipa sikatai
Nakupenda sana you’re always in my mind
Always in my mind
Swaga zinanimaliza
Always in my mind always in my mind

You’re always in my mind

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI