MISTARI YA WIMBO HUU

Nakuahidi – Gilad na Dela

Naenda nitarudi
Imenibidi sina budi
Riziki kutafuta
Usife moyo
Jipe moyo
I promise
Mochozi machozi nitafuta
Nieleze unachotaka
Nieleze I’ll be listening
Usilie
Wakati unataka
Niambie I’ll be listening

Niahidi
Tutaonana tena
Niahidi
Tutaonana tena
Niahidi
Tutaonana tena
Niahidi
Tutaonana tena (nakuahidi tutaonana tena)
Niahidi
Tutaonana tena (nakuahidi tutaonana tena)
Niahidi tutaonana (I promise you)

I’m not going anywhere
Nitangoja
Kumbuka sio hoja ni na we
Kukufa na kupona my bebe
Nitavumilia

Niahidi
Tutaonana tena (nakuahidi tutaonana tena)
Niahidi
Tutaonana tena (nakuahidi tutaonana tena)
Niahidi
Tutaonana tena (nakuahidi tutaonana tena)
Niahidi
Tutaonana tena (nakuahidi tutaonana tena)

Nieleze unachohisi (usiende iyeiye)
Nieleze I’ll be listening (usiende iyeiye)
Usilie wakati unataka (sitalia iyeiye)

Sina budi ila kukuaga kwaheri
Ninakutakia kila la heri
Oh oh
Naomba mola akulinde
Akurejeshe salama

Nakuahidi
Tutaonana tena (niahidi tutaonana tena)
Nakuahidi
Tutaonana tena (niahidi tutaonana tena)
Nakuahidi
Tutaonana tena (niahidi tutaonana tena)
Nakuahidi
Tutaonana tena (niambie I’ll be listening)
Niahidi
Tutaonana tena (baby)
Niahidi
Tutaonana tena (baby)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU