MISTARI YA WIMBO HUU

Oya oya oya hey
Mi nataka unisikilize
Oya oya oya hey
Nimekuja tuzungumze

Sema sema sema Ben Pol
Huwa napenda nyimbo zako
Ila tatizo mavazi yako
Unasahau kwamba we ni msanii

Ninavyovaa na kuimba wapi na wapi
Midosho China kwani sh ngapi
We una sifa mi nnaimba
Nenda uliza shabiki wakwambie

Unachelewa kaka punguza ushamba sasa
Mziki biashara natengeneza hela
Hauna mashabiki tena

Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (leo)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana
(Nakuchana leo hii nakuchana leo hii)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)

By the way natafuta msanii wa kumsaidia
Niambie video ya mwisho nani kakulipia

Nafanya shows kila mwaka
Wapi we unapata pesa
Story zako nshazipata
Unalelewa na Vanessa

Mi mfanyabiashara toka long time
Wala sio mwenzako
Mashabiki nimekupora hata last time
Mechukua tuzo yako

Ngoma ya kitoto haikeshi
Subiri next time naandaa dozi yako
Hata hizo gari na pesa
Mbwembwe za bling bling
Mshukuru sana ex wako Jacky

Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (leo)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana
(Nakuchana leo hii nakuchana leo hii)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)

Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (leo)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana
(Nakuchana leo hii nakuchana leo hii)
Nakuchana
Nakucha-nakucha-nakuchana (nakuchana)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU