MISTARI YA WIMBO HUU

Naliamsha Dude – Weusi

Naliamsha dude
Mida ya wakubwa na watoto washalala hiyo
Naliamsha dude
Mida ya wakubwa na watoto washalala hiyo
Naliamsha dude
Dude yah aha
Naliamsha dude yah aha
Naliamsha dude
Kaza chaga mama
Kaza chaga mama
Naliamsha dude
Kaza chaga mama
Kaza chaga mama
Naliamsha dude
Dude yah aha
Naliamsha dude yah aha

Nagongaga mimi ni ka koboko
Nafukia mashimo niko moto moto hiyo
Nafunganga mi si John Boko boko hiyo
Napigaga mingi si kimoko moko hiyo
Kula muwa tupa matindi
Njoo tujenge team maushindi
Uchizi kama tupo Rutindi
Naliamsha toka Rukwele
Ficha white uone varangati
Mguu wa mchaga manoti mkombozi
Mama me sili kwa manati mkombozi
Chuma mboga shika magoti mkombozi
Vidampa wanakachi

Naliamsha dude
Mida ya wakubwa na watoto washalala hiyo
Naliamsha dude
Mida ya wakubwa na watoto washalala hiyo
Naliamsha dude
Dude yah aha
Naliamsha dude yah aha
Naliamsha dude
Kaza chaga mama
Kaza chaga mama
Naliamsha dude
Kaza chaga mama
Kaza chaga mama
Naliamsha dude
Dude yah aha
Naliamsha dude yah aha

Niki na bunduki ila sio silaha
Inakichwa kisicho na utosi na
Ina kichwa kisicho na akili na
Ndichi kinatuzidi akili na
Kwa watoto usiku ni kupu nakusususu
Wanandoa ni ku-do na kubususu
Hapo ngoma likisanda nanususu
Baba yetu aliye juu ameruhususu
Chumbani na mchumba nikadisco
Ni kipara na wewe ni paradiso

Naliamsha dude
Mida ya wakubwa na watoto washalala hiyo
Naliamsha dude
Mida ya wakubwa na watoto washalala hiyo
Naliamsha dude
Dude yah aha
Naliamsha dude yah aha
Naliamsha dude
Kaza chaga mama
Kaza chaga mama
Naliamsha dude
Kaza chaga mama
Kaza chaga mama
Naliamsha dude
Dude yah aha
Naliamsha dude yah aha

She call me King she call me King Kong
When im in bed ma chest
She know the game zone babe aha
Kitu kimwalipo mnala
Mtandao ukizingua nanunua mnala
Sa hivi siogopi hasara
Hii kazi kilele ndo mshahara
Napenda mavideo call
Kuliamsha dude kusomaga location
Shule sijaendaga bure
Washiku ku maziwa aha
Huku nishachanjiwa
Mguu ushasimamiwa aha
Kijani nishawashiwa ehe ehe
Dedication mamy oh motivation kalio
Inaniboost salio kwenye kila hiyo

Naliamsha dude
Mida ya wakubwa na watoto washalala hiyo
Naliamsha dude
Mida ya wakubwa na watoto washalala hiyo
Naliamsha dude
Dude yah aha
Naliamsha dude yah aha
Naliamsha dude
Kaza chaga mama
Kaza chaga mama
Naliamsha dude
Kaza chaga mama
Kaza chaga mama
Naliamsha dude
Dude yah aha
Naliamsha dude yah aha

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI