MISTARI YA WIMBO HUU

Namjua namjua
Namjua namjua
Namjua namjua
Namjua namjua

Kuwa nae paradiso mie nae uhai kwa kifo
Kama babu na kiko niko nae toka nauza siso
Akitembea lawama (namjua)
Huko nyuma danadana (namjua)

Iwe kokwa iwe ganda
Akinipa najilamba
Anavyolicheza vanga
Timbwili kwenye kitanda
Alele lelele
Alele lelele

Mwenye kishepu kidogo (namjua namjua)
Mwendo wake wa mikogo (namjua namjua)
Sura kama mtoto mdogo (namjua)
Eh (namjua)
Utamu wa embe dodo (namjua namjua)

Shusha nchungulie (adeedeede eh adeedeede)
Nionee kwa mbali (adeedeede eh adeedeede)
Japo nshikilie (adeedeede eh adeedeede)
Chungu au asali (adeedeede okay adeedeede)

Leo pochi imenona
Mi nataka kutoka
Vaa top ya kushona
Nigonge suti na moka
Tena ukiwaona
Usije ukashoboka
Tuwafungie na kona
Maana marafiki nyoka

Iwe kokwa iwe ganda
Akinipa najilamba
Anavyolicheza vanga
Timbwili kwenye kitanda
Alele lelele
Alele lelele

Mwenye kishepu kidogo (namjua namjua)
Mwendo wake wa mikogo (namjua namjua)
Sura kama mtoto mdogo (namjua)
Eh (namjua)
Utamu wa embe dodo (namjua namjua)

Shusha nchungulie (adeedeede eh adeedeede)
Nionee kwa mbali (adeedeede eh adeedeede)
Japo nshikilie (adeedeede eh adeedeede)
Chungu au asali (adeedeede okay adeedeede)

Ale shusha nchungulie (adeedeede eh adeedeede)
Nionee kwa mbali (adeedeede eh adeedeede)
Japo nshikilie (adeedeede eh adeedeede)
Chungu au asali (adeedeede okay adeedeede)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU