MISTARI YA WIMBO HUU

Kimambo on the beat

Nampa
Nampa
Nampa
Nampa papa
Nampa
Nampa
Nampa
Nampa papa
Nampa
Nampa
Nampa
Nampa papa
Nampa
Nampa
Nampa
Nampa papa

Akitaka na ugali wa dona
Namsongea
Atake nini tena
Namtendea
Tiba ya kidakitari napona
Naacha magongo natembea
Atake nini tena
Sijawaga na mapene
Napenda safari
Vile rhumba masebene
Motema na Ngai

Natamani ye aseme anachotaka
Nimpatie
Natamani haitoshi nnavyokata
Nimpatie

Basi anapendaga sana samaki umpatie
(Nampa papa)
Sangara
Kibua
Haitoshi ye mpatie
(Nampa papa)
Nampa
Nampa
Nampa
(Nampa papa)
Nampa
Nampa
Nampa
(Nampa papa)

Shida inakuja wakiniona nae wananuna eh
Kwenye stori zetu nikimtaja ye wanauchuna eh
Hata kwenye simu yangu ukipiga wanaguna eh
Wamekosa imani uvumilivu wala huruma eh
Hawajui nimenasa mie
Namba tasa mie
Ye funguo na kitasa mie

Natamani ye aseme anachotaka
Nimpatie
Natamani haitoshi nnavyokata
Nimpatie

Basi anapendaga sana samaki umpatie
(Nampa papa)
Sangara
Kibua
Haitoshi ye mpatie
(Nampa papa)
Nampa
Nampa
Nampa
(Nampa papa)
Nampa
Nampa
Nampa
(Nampa papa)

Basi anapendaga sana samaki umpatie
(Nampa papa)
Sangara
Kibua
Haitoshi ye mpatie
(Nampa papa)
Nampa
Nampa
Nampa
(Nampa papa)
Nampa
Nampa
Nampa
(Nampa papa)

(Nampa papa)
(Nampa papa)

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU