MISTARI YA WIMBO HUU

Swaghili, Na na Nahreel Ngwangwaliza ngwingwolola
Swaghili, Na na Nahreel Ngwangwaliza ngwingwolola
Ila sina noma mie,ila sina noma mieeeeeh Yebaaaaaaa

Nampenda penda ndo mana anazingua
Siwezi muacha nataka niko naye
Anaringa ringa na mahaba anayajua kama pacha nataka niwe naye
( Ndo mana) ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye

Hivi we kwanini unataka vitu vingi hata nikisema no bado vitu vingi
You want some more yani vitu vingi mapenzi gani haya yani full vitimbi
Unanipeleka peleka ushanifanya mi pimbi
I wanna buy shoes do you have some money
I wanna buy clothes do you have some money
Hivi we unadhani mi nafanya kazi gani
Nikifoka unacheka
Nikisepa unadeka
Nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka
Nikifoka unacheka
Nikisepa unadeka
Nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka

Nampenda penda ndo mana anazingua
Siwezi muacha nataka niko naye
Anaringa ringa na mahaba anayajua kama pacha nataka niwe naye
( Ndo mana) ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye

Huh Why you do that to me
Tell me somethin’ Why you do that to me
We unaenda na simu bafuni
Nakuambia kesho mi narudi saa kumi
Nasikia unamabwana ka kumi
Eti umesikia mi natoka na Umi
Hujanipa tunda huu mwezi wa kumi
Nilivyokua fala nakupenda tu mi
Kama twitter nakufollow
Hujaridhika na mi we mi hollo
Unaona kwako mi niko dollo
Nikiomba chezo hah tomorrow
Huh Kama twitter nakufollow
Hujaridhika na mi we mi hollo
Unaona kwako mi niko dollo
Nikiomba chezo tomorrow huh

Nampenda penda ndo mana anazingua
Siwezi muacha nataka niko naye
Anaringa ringa na mahaba anayajua kama pacha nataka niwe naye
( Ndo mana) ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye

I do I do it for you coz u ur my boo I do for you heeeh
I do I do it for you coz ur my boo

Nampenda penda ndo mana anazingua
Siwezi muacha nataka niko naye
Anaringa ringa na mahaba anayajua kama pacha nataka niwe naye
( Ndo mana) ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye
Ogopa mi naogopa kukuacha mi naogopa
Ogopa mi naogopa ndo mana niko naye

Nikifoka unacheka
Nikisepa unadeka
Nakukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka
Nikifoka unacheka
Nikisepa unadeka
Na kukuacha sitoweza sijui kwa chupa ushaniweka
Ila sina noma mie

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI