MISTARI YA WIMBO HUU

Sijui lini itafika hisia zangu we kuzitambua
Sijui lini itakuwa vile mimi ninavyoiota
Kwani wazi kwamba kwako mimi sijiwezi
Na nimekwisha zama kwenye dimbwi la mapenzi
Baby, baby
Kwani wazi kwamba kwako mimi sijiwezi
Na nimekwisha zama kwenye dimbwi la mapenzi
Yee yeah

Nataka niwe wako
Nifanye niwe wako, mpenzi
Nataka niwe wako

Mi sijali umeshakuwa na nani honey
Ninachojali nipate hilo lako penzi
Kwani ni wazi kwamba ndilo hasa laniwasha rohoni
Nipe kaka nifurahie moyoni
Kwani ni wazi kwamba ndilo hasa laniwasha rohoni
Nipe kaka nifurahie moyoni
Yee-yeah

Nataka niwe wako
Nifanye niwe wako, mpenzi
(We niite, nivute, baby)
Nataka niwe wako
Nifanye niwe wako, mpenzi
(We nishike, mpenzi)

Nataka niwe wako (niwe wako)
Nifanye niwe wako (nifanye wako) mpenzi
(We niite, nivute, baby)
Nataka niwe wako
Nifanye niwe wako, mpenzi
(We nishike, mpenzi)

Najua ni ngumu wazi mi kuelezea
Lakini ninabidi mpenzi wangu kukwambia
Vile ninavyohisi

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI