MISTARI YA WIMBO HUU

Yeah
Hey love
Juzi nilikaa nakungoja we
Jana pia mahindi nikachoma we
Leo sitaki ipite bila kuwa nawe
Japo, natabasamu kila napoziona picha zako
Na siishiwi hamu maana utamu utazidi endapo
Tukiwa karibu as couples na uko mbali japo
Mazuri mengi mambo
Yaja kwa muda wake, muda utake usitake
Ninaganda kwake sitoki mimi huba kwake
Na hivyo ulivyo uuh I got gifted
Mwenyezi ni engineer we ni limited edition
Reality sio fiction, hatari wakupishe
Hatari kitandani na medali nikuvishe
Bahari ya mapenzi ndoto meli nikodishe
Sayari ya mapenzi moto kweli nivumishe

Natamani
Natamani (natamanii)
Nikuonee teena (natamani)
Teena
Natamani (natamanii)
Nikuonee teena (natamani)
Teena (natamani)

Na kama utafika uuh
Kwa mama tutakwenda tu
Lawama zikifika juu
Kwa Baba tutakwenda tu
Pia, dakika moja na wewe ni kama miaka mia
Dakika moja huzaa lisaa na siku pia
Za siku dear, sikukwambia
Dakika moja bila wewe mwisho wa dunia
Sisemi sipati usingizi ila ndotoni unaniijia
Love kwenye njoziii maa
Maua ya roseee
Na unajua mapoziii
Na..subiri uje closee
Selfie tupost, I got it
Wacha waseme na na mwishoni wakalale
Like the stars on the sky
Mimi na wewe na wewe na wewe

Natamani
Natamani (natamanii)
Nikuonee teena (natamani)
Teena
Natamani (natamanii)
Nikuonee teena (natamani)
Teena (natamani)

Lolly Mwaah

Asante

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI