MISTARI YA WIMBO HUU

Mwili unatamani (oh)
Nafsi inatamani (oh)
Macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Na nafsi inatamani (oh)
Na macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Nafsi inatamani (oh)
Macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Na nafsi inatamani (oh)
Na macho yanatamani Neila mi kukuona

Neila kumbuka nafsi inavuta
Do you remember wapi Tunda nimekukuta
Ila najuta hujankumbuka
Ukiniona macho yako yatakusuta
Neila sikia
Ninayokwambia
Mi nakupenda ila ndo umewahiwa
Sina hasira
Mi sina hila
Kwenye mapenzi ndo nshapoteza dira
Sura nkiikumbuka
Mwili unashtuka
Nywele ikinigusa kabisa naweweseka
Mi nateseka
Huzuni umenifika
Kamba ya upendo nahisi ndo imekatika mama

Mwili unatamani (oh)
Nafsi inatamani (oh)
Macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Na nafsi inatamani (oh)
Na macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Nafsi inatamani (oh)
Macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Na nafsi inatamani (oh)
Na macho yanatamani Neila mi kukuona

Neila (kumbuka tulipotoka)
Ila (nashangaa hujakumbuka)
Taswira jaribu tu kuivuta
Mila na desturi tutazivuka
Neila (kumbuka tulipotoka)
Ila (nashangaa hujakumbuka)
Taswira jaribu tu kuivuta
Mila na desturi tutazivuka

Sintojali kama unae
Au una mpango nae
Jaribu vuta taswira kumbuka usikatae
Ah ni mimi mimi tulikutana zamani
Nilipo-fall inlove nikawa ka hayawani
(Mwili unatamani)
Kwa sababu ulinipotea
(Nafsi inatamani)
Muda wowote nakupokea
Sipendi kujinyima kama mlokole na uzima
Chidi Benz a.k.a Fire ila kwako mimi nazima
Natetemeka hata zaidi ya kuweweseka
Bila wewe nafsi yangu sijui wapi nitaiweka
Na-miss kucheka nanuna navunda mdomo
Stori maskani hazipandi kama utoro na masomo
(Neila) nikikupata mi sitokuacha
Njoo Ilala La Familia mtoto mzuri ule bata
(Ila) nikikupata mi sitokuacha
Njoo Ilala La Familia mtoto mzuri ule bata

Mwili unatamani (oh)
Nafsi inatamani (oh)
Macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Na nafsi inatamani (oh)
Na macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Nafsi inatamani (oh)
Macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Na nafsi inatamani (oh)
Na macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Nafsi inatamani (oh)
Macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Na nafsi inatamani (oh)
Na macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Nafsi inatamani (oh)
Macho yanatamani Neila mi kukuona
Mwili unatamani (oh)
Na nafsi inatamani (oh)
Na macho yanatamani Neila mi kukuona

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU