MISTARI YA WIMBO HUU

Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake
Mlete nitamlea
Usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake

Huenda akawa Obama atawale Amerika
Huenda akawa Lupita Oscar nazo akashinda

Huenda akawa Wanyama acheze soka Uingereza
Huenda akawa Kenyatta mwanzilishi wa Taifa
Nakuomba Nerea usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake
Mlete aitamlea usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake

Huenda akawa Maathai ayalinde mazingira
Huenda akawa Makeba nyimbo nzuri akatunga

Huenda akawa Nyerere aongoze Tanzania
Huenda akawa Mandela mkombozi wa Taifa

Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake
Mlete nitamlea
Usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake

Nakuomba Nerea
Nerea
Nerea
Usitoe mimba yangu
Nerea
Nerea
Nerea
Usitoe mimba yangu

Huenda akawa Kagame(Atawale)
Jaramogi Odinga(Tuungane)
Huenda akawa Tom Mboya
Huenda akawa Rudisha
Huenda akawa Malaika Mungu Ametupatia
Huenda akawa Sauti Sol
Huenda akawa Amos & Josh
Huenda akawa
Huenda akawa Malaika Mungu ametupatia

Nakuomba Nerea
Usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake
Mlete nitamlea
Usitoe mimba yangu we
Mungu akileta mtoto analeta saa ni yake

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI