MISTARI YA WIMBO HUU

Aah!
Acha masela tour kali, hapa na kila mahali
Parlie bila mademu hiyo huwaga sio shwari
Tuna-bang ndani ya kitaa, tuna-bang kila mahali
Moja, mbili… okay usijali

Nyimbo, nyimbo zetu nyimbo
Nyimbo tuziimbeni
Ngoma, ngoma zetu ngoma
Ngoma tuzichezeni

Rolls kwa bank, ma-groupie dizaina ya Tyra Banks
Huku tukisikilizia miziki za way back
Za watu ka Remmy Ongala, Amza Kalala
Daudi Kabaka
Tukipiss ka in the 60s utatutaka
Ngoma zetu zinawa-bang tunawakimbiza mchaka mchaka
Ziko kibao, nyingine tunaona bora tutoe sadaka
Ma-fans tunawapa wanachotaka

Ni nyumbani siwezi ondoka
Naridhika na nachokipata
Hata nikisafiri mara kwa mara
Lakini usi-mix

Nyimbo, nyimbo zetu nyimbo
Nyimbo tuziimbeni
Ngoma, ngoma zetu ngoma
Ngoma tuzichezeni

Njooni tuchezeni nyimbo zetu, tuimbeni nyimbo zetu
Kuwakilisha taifa letu, kuwakilisha ndo zetu
Lady Jide na Nako, Tz ndo nembo yetu
Raisi Kikwete mtu wetu, amani sifa yetu
Tu-support za kwetu, waliwatesa babu zetu
Kwanini tunyenyekee, embu niambieni wazee
Kama wao kivyao, sisi tupambane tuendelee
Afrika ndani ya hii dunia tusimame tuitetee
Moja, mbili, mko tayari tuendelee?

Nyimbo zimekomaa, sindimba kibao kata
Zipo kila mahala, hakuna hata mnanda
Eiyoh mdumange, mdundiko na ritungu
Kibao kata (hu!)
Mdundiko (haa!)
Sindimba (bila kusahau na mchiriku)

Nyimbo, nyimbo zetu nyimbo
Nyimbo tuziimbeni
Ngoma, ngoma zetu ngoma
Ngoma tuzichezeni

Tuzichezeni (aah!)
Mandugu Digital
41 Records!
N2N Soldiers
Komando Jide
Kibao kata (hu!)
Mdundiko (haa!)
Sindimba (bila kusahau na mchiriku)

Nyimbo, nyimbo zetu nyimbo
Nyimbo tuziimbeni
Ngoma, ngoma zetu ngoma
Ngoma tuzichezeni
Nyimbo, nyimbo zetu nyimbo
Nyimbo tuziimbeni
Ngoma, ngoma zetu ngoma
Ngoma tuzichezeni

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI