MISTARI YA WIMBO HUU

Ni penzi pendo tu
Ni penzi pendo tu
Linalonifanya nizidi kuwa nawe karibu
Ni penzi pendo tu
Ni penzi pendo tu
Linalonifanya nizidi kuishi na uvumilivu

Kweli kuwa nawe
Kuishi nawe ni furaha
Ni furaha uwo uwo ohh
Kuwa nawe
Kuishi nawe ni furaha ah
This love is pure and true

P-E-N-D-O
Ni zaidi ya maneno
Maneno mengi yasemwayo
Mengi mpenzi
Ni zaidi ya misemo
Inayofariji moyo ooh
Penzi kweli lasamehe
Penzi lina matumaini
Lina uvumilivu na subira
Nami na husuda, chuki wala hasira
Kweli penzi thabiti tunaumbwa nalo
Japo adui hapendi mimi
Kuwa nawe sweet melody
In harmony, baby please
I need you to stay with me

Kweli kuwa nawe (nikiwa nawe shori)
Kuishi nawe (niishi nawe mpenzi)
Ni furaha
Ni furaha uwo uwo ohh (oh!)
Kuwa nawe (nikiwa nawe shori)
Kuishi nawe (niishi nawe mpenzi)
Ni furaha ah (yeah)
This love is pure and true

Hata nieleze mengi
Viburi flow nyingi
Bado maana ya msingi
Inabaki kuwa baki na mi mamii
Kando yalopita, mbele future ujenge nami
Ukienda ama niende futi 6 ukiwa nami
Penda, wasipende waende kule ubaki nami
Sipendi mambo ya kilami lami
Ila shawty kizungu stay
Mami nilishakuita nyumbani, maskani ya Jay
Hey, kwa kila tathmini mi kwako sikio la kufa
Dawa zimeshindikana
Lilipo na pendo letu tia pendo la bwana
Pasu na vitendo haitoleta halisi maana
Neno P-E-N-D-O
Na tuimaanishe kweli mamilo
Muhimu yu kama (H2O)
Kwa uhai
Tunda la mti wa kati, msamaha ulishapita
Tuliagizwa upendo, na wangu wote ni juu yako
Sikuuzii maneno, sihitaji mifano
Mifano ni mimi na wewe kwa hili agano
Ushindi ni wepesi maelewano na si malumbano
Mapenzi ya nguvu shori, makutano you know
Katika kila heri na dhoruba nimo
B Records! (heheh)

Kweli kuwa nawe
Kuishi nawe ni furaha
Ni furaha uwo uwo ohh
Kuwa nawe
Kuishi nawe ni furaha ah
This love is pure and true

Love is pure and true
This love is pure and true
This love–
Love is pure and true
This love is pure and true
This love is pure and true
This love, love is pure and true

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI