MISTARI YA WIMBO HUU

Wasafi
Mhhhh
Wasafi Records
Mhhhh

Mujini kipenzi
Siraha ni shillingi babe
Kupendana zamani
Ndo wanavyosemaga Wazuri ni wengi
Ila uongo mwingi babe eiih
Wakisha viona vya ndani
Basi wanakumwaga
Ndo maana ukichelewa dukani
Mie Kamoyo kananidundaga
Nawaza isije Mangi jirani akakuonga kilo ya unga

Ooh ooh
Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano kipande
Bora nikuweke wazi ya nini nikufiche gambe
Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo mpaka wengi wadange
Niweke wazi ni kipi kinafanya unipende

Niambieee (tell me babe love)
Ooh basi niambie (vipi unanipenda ingali sina doh)
Niambie
Oh basi niambie (tell me babe love)
Oooh basi niambie
Usije nitenda ukaniumiza roho

Siku hizi magari ya Wakongo
Mapesa mara nyumba Mbezi
Usinichanganye na ubongo nidate kisa mapenzi
Nsije kuwekea ndumba
Umenipendea rumba
Vipi nikija kudunda
Ohh ooh Usije mgezea punda
Ukaniachia ngunga
Mbona kumendea chungwa

Ooh ooh
Mbaya zaidi sina kazi nakosa senti tano kipande
Bora nikuweke wazi ya nini nikufiche gambe
Tumeumbiwa shida maradhi
Ndo chanzo mpaka wengi wadange
Niweke wazi ni kipi kinafanya unipende

Niambieee (tell me babe love)
Ooh basi niambie (vipi unanipenda ingali sina doh)
Niambie
Oh basi niambie (tell me babe love)
Oooh basi niambie
Usije nitenda ukaniumiza roho

Umenipendea hahahh
Kipi mama
Umenipendea hahahh
Basi sema
Umenipendea hahahh
Umenipendea nini ingali sina doh
Umenipendea hahahh
Tell me babe loove
Umenipendea hahahh
Ohh basi niambie
Umenipendea hahahh
Unanipenda ingali sina doh

Toa Maoni Hapa

SHIRIKISHA MWINGINE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

SHIRIKI KUONGEZA MISTARI

VIDEO YA WIMBO HUU